Rada kuu ya Tanzania ni mbovu.

Hii wiki ya pili

na nadhani mnajua kama BAE SYSTEMS wanataka ma bilioni kuja kuifanyia
marekebisho

uzuri rada tuliuziwa na wawekezaji ambao tunawapenda na tunawaona sio
matapeli (wazungu)

Ingekuwa tumeuziwa na Waarabu naona kungekuwa kunawaka moto sasa

Kazi kwenu na nchi yenu ya kufikirika

Najua uwanja wa ndege umebadilishwa jina lakini silipendi kulitumia hiyo
jina kipya linantia kichefu chefu na naomba uamuzi wangu
uheshimiwe

jina la baba wa taifa linakuchefua?????
 
CCM oyeeeeee......
Mkapa oyeeee.........
Kikwete oyeee.......
Chenge oyyeeeee.......
Mna bahati hampitagi mtaani kwetu. Ningewamwagia maji niliyosafishia samaki..... Mngekomaje?
Tunajua mahakama mmezizidi nguvu, lakini kaeni mkijua kuwa, haya mateso mnayompa maskini yanawakosesheni baraka
 
Aiseee baba yangu hiyo rada inatusaidia nini sisi wakulima wa huku rombo??????

Sasa nasikia airport kuitwa jk international airport

kisa cha kubadili ni kupata watali wengi nchini
 
Ikiwa wewe unaujuwa huu wenzako wanaujuwa huu!

Hapo ndipo nnaposema, hatuna ujanja wa kuwakwepa hawa wenye teknolojia, ukitaka usitake watakuja tu. Kama si kwa hiyari kwa nguvu.
 
GT na siasa zake za udini. Kwanini usimwambie ustaadh mwenzako JK awawajibishe wahusika waliotufikisha hapa? as far as I know he is the most powerful person in nutsland..
 
Hii wiki ya pili

na nadhani mnajua kama BAE SYSTEMS wanataka ma bilioni kuja kuifanyia marekebisho

uzuri rada tuliuziwa na wawekezaji ambao tunawapenda na tunawaona sio matapeli (wazungu)

Ingekuwa tumeuziwa na Waarabu naona kungekuwa kunawaka moto sasa

Kazi kwenu na nchi yenu ya kufikirika

Najua uwanja wa ndege umebadilishwa jina lakini silipendi kulitumia hiyo jina kipya linantia kichefu chefu na naomba uamuzi wangu uheshimiwe[/QUOTE]
kama hutaki kuutambua kuwa unaitwa mwalimu J. K Nyerere international airport sasa hilo tatizo lako mm siwezi kuheshimu uamuzi usio na mantiki!
 
GT na siasa zake za udini. Kwanini usimwambie ustaadh mwenzako JK awawajibishe wahusika waliotufikisha hapa? as far as I know he is the most powerful person in nutsland..

Asante kunistua. Sikujua nabishana na GT. Huyu jamaa kabadilisha majina kibao humu JF. But we know his true colours. Hebu mwangalie kule kwenye thread ya Muhongo kumkatalia Mwarabu "mwekezaji." Udini mtupu.
 
Eti kampuni ya BAE SYSTEMS ''imeanza mchakato''

Hivi kuagiza hiyo power supply ( kama kweli ndio iliyoharibika) toka UK kuja hapa Dar inachukua muda gani? na kwa nini hawakununua power supply ambayo ingekaa stand by?

waziri husika naye kimya.
 
rada.jpg




Hii wiki ya pili

nadhani mnajua kama BAE SYSTEMS wanataka ma bilioni kuja kuifanyia marekebisho

uzuri rada tuliuziwa na wawekezaji ambao tunawapenda na tunawaona sio matapeli (wazungu)

Ingekuwa tumeuziwa na Waarabu naona kungekuwa kunawaka moto sasa

Kazi kwenu na nchi yenu ya kufikirika

Najua uwanja wa ndege umebadilishwa jina lakini silipendi kulitumia hiyo jina kipya linantia kichefu chefu na naomba uamuzi wangu uheshimiwe
Unasumbuliwa na ugonjwa maarufu uitwao Uislamuism mbumbumbuliasis..Ulitaka uitwe Osama bin Laden and Al-shabaab Airport?Kama unajiskia kichefuchefu utakua na ujauzito wakawaida tu sio bure watu wa aina yako tumeshawazoea na ndo akili mbovu za hivo tunazozipenda maana hubaki duni na bila amani maisha yao yote,mtaongozwa mpaka vichaa wakikristo maana wataonekana wanaafadhali kuliko watu wenye laana kutoka kwa mungu na wanadamu kama ninyi!Ngoja tukuone mwisho ila mawazo yako hakuna wakuyaheshimu...Unless is mad kama wewe
 
The issue is irrelevant what has to be a subject matter is whether strategic spares have been adequately sourced and if at all Preventive Maintenance is done according to the manufacturer. The Radar has been in use for over 10 years. So if TCAA doesn't do it's work properly then to blame the manufacturer BAE Systems it is not fair. You don't simply procure systems and assume that they will operate without proper maintenance. Watanzania acheni uvivu wa kufikiri. You got what you didn't expect because of corruption but Dhaifu said it was only an arithmetic error what a he'll . Now a question to JK why did you fail to collect the change for ten years hivi vipi hakuna RIBA?
 
Na lile deni la zamani bado hawajalipa...kwa hiyo ni zaidi ya hizo mkuu!!
 
Na kunatishio la mashirika ya ndege ya kimataifa kuacha kutumia uwanja wetu kwa sababu za kiusalama kama hatua za haraka za kurekebisha tatizo hilo hazitachukuliwa
 
Back
Top Bottom