Racism everywhere [How White hates Blacks]

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
456
I have come to prove that wazungu kweli hawatupendi watu weusi, yani wanatuona taka kabisa. sema hatujui tu!
Watch this woman how she disrespected us unashamedly



What could you have done?!!!!
:peace:
 
Last edited by a moderator:
Wazungu mimi ninawaita Mashetani weupe hizo ndio tabia zao kila sehemu wao ndivyo walivyo wabaguzi Wakubwa wa Rangi maShetani weupe karibu ulaya yote Tabia zao ndio hizo hatu uwishi nao Vizuri watakutukana na kukubagua kwa sababu eti wewe kwanini umekuwa Mtu Mweusi? Hawa ni mashetani weupe ndio Tabia zao usijali Mkuu.
 
I wouldnt have done nothing...

I would ignore her, she is rubbish, unexposed and frustrated with her failures!!!

But when it comes to the matter, what do we do to the foreigners?? some of Tanzanians do the same to chinese, (fellow africans), indians etc

this will continue, she did what she did coz she is insecure.... she is trashed and useless and hopeless as well!!! MIe ningemuangalia, na wakati wa kushuka kumueleza tu why nipo pale kwa wakati ule and how my stay there benefit me and my family and appreciate England for hosting my stay as i truly benefit from my stay there... i would extedn my invitation to Africa as well as advice her to go and learn more about meaning of the world vs. universe vs. earth and where she fits into those

Nampa pole sana huyo mzungu!!!

But nampongeza sana yule white lady aliyekwenda kum-hug that black dude maana dogo alianza kupoteza uvumilivu
 
nakumbuka hotuba moja ya mwalimu akiwa nje na ujumbe kutoka Tanganyika ktk harakati za kudai uhuru walipofika mkutanoni wao[waafrika] walipewa viti vibovu bovu ndipo mjumbe mmoja wa chini yake akamind na kumwambia Mwl kwa hasira "kwanini wametufanyia hivi wametupa viti vibovu wao wamekalia viti vizuri? mwalimu akamwambia "Tulia" basi wakakaa nakuendelea na mkutano. Mpumzike kwa amani wazee wetu.Amen.
 
Hawa watu nadhani walaaniwa na mungu ndo maana hayo wanayafanya tena bila uficho. Kwani ka bwana mdogo cameroon kusema bila ushoga africa no misaada wadhani ilikuwa nini hii ilimaanisha kwamba waafrika kwa wazungu si chochote kitu, washenzi wanajifanya miungu watu na kwamba wameletwa duniani kuktutawala na kwamba mbele yao hatuna la kusema,. Wanaizaya wakubwa hawa. Inabidi kuambiwa kwa sababu ukimya wetu utatufanyay tuzidi kudharaulika mbele zao.
 
I'm glad I'm a black racist! I can't even have a white friend. I'm just down to business, and business it is...
 
Rudini makwenu. Huyo mzungu yuko right, kwa nini mnyanyaswe ugenini, hamna nchi?

Hata mimi nachukia wachina wanavyo take over Tanzania, wakenya wanavyo creep in, na wasomalia wanavyovamia Dar, the same way huyo British asivyopenda kuvamiwa na foreigners.

Kuna mjamaica anajitetea humo kwenye tram eti wakiondoka wao UK kazi zao hazitafanywa, really? Kama mnajua sana kazi si mkajenge kwenu third world? Nani aliijenga UK mpaka ikawavutia wahamiaji kiasi cha kukimbia kwenu na ndugu zenu, kuna watu wamekimbia watoto wao third world kwenda kwenda UK, nyinyi si mnajua sana kazi, rudini tuindeleze third world basi!
 
Majitu meupe mengi hayajastaarabika.Sisi huwa tunayajali wakati yenyewe yanatuona sisi wanyama.Mashwaitwan rajim haya!
 
Hivi kwani hamuoni kama huyo mwenyewe maisha yamempiga fimbo? Asa amlaumu nani? ubongo wake umemtuma aseme hivyo. Watu kama hao, unamsikiliza, then kikifika kituo chako unashuka unatokomea zako, wala hakupi presha.
 
Simpo: Mkome kukimbilia kwenye nchi zao, Fanya kazi kwa bidii kwenye nchi zenu wenyewe, stop corrupt practices, learn to hold your leaders responsible for their corruption na mjiletee maendeleo yenu na ya nchi yenu wenyewe, in Short stop whinning, behave like men and women of valor and you will eventually earn their respect,

SORRY IF YOU FIND THIS TO BE RUTHLESS TO YOUR VUNELRABLE FEELINGS!:tongue:!
 
Si sawa kuwajudge wazungu wote kwa clip hizo tu. Sisi wenyewe mbona tunabaguana kuliko hata hao wazungu unaowasema? Mambo ya ubaguzi hayawezi kuisha 100% maana nature ya wanadamu ni kiburi, majigambo na umimi. Ubaya ubaguzi wetu hatujaweza kushoot na kuweka clips youtube lakini upo. Yamkini hata wewe kuna watu unawadharau na kuwabagua, siku moja clip yako utaiona youtube usipoacha!
 
Wazungu mimi ninawaita Mashetani weupe hizo ndio tabia zao kila sehemu wao ndivyo walivyo wabaguzi Wakubwa wa Rangi maShetani weupe karibu ulaya yote Tabia zao ndio hizo hatu uwishi nao Vizuri watakutukana na kukubagua kwa sababu eti wewe kwanini umekuwa Mtu Mweusi? Hawa ni mashetani weupe ndio Tabia zao usijali Mkuu.
UTAKUWA UNAISHI DUNIA GANI??
obama anaeleza namna alivyobaguliwa akiwa mtoto alipotembea Kenya.
Anasema aliingia hotelini akiambatana na dada yake (Mkenya wa kuishi Kenya) na namna hotelmaid walivyomfanyia ila soon wakaingia wazungu wakapewa mapokezi ya kutukuzwa.
Obama anaendelea kwa kusema ubaguzi si lazima ufanywe na mzungu dhidi ya Muafrika kwani Kenya alinyanyaswa na kufanyiwa maudhi na hotelmaid wa Kiafrica which simply mean muafrika alimbagua muafrica mwenzie
 
Majitu meupe mengi hayajastaarabika.Sisi huwa tunayajali wakati yenyewe yanatuona sisi wanyama.Mashwaitwan rajim haya!
ukitembelea morogoro nenda KIDIDIMO eneo linalowekeana mpaka kati ya makaazi ya maprofessor na wanakididimo.
Hapo utaona ni kwa namna gani watoto wa maprofessor wanavyowabagua watoto wa choka mbaya wa mtaa. Hilo eneo utadhania kuna sub-spicies ya wanadam kwa namna uaguzi ulivyotanda.
 
awa ni makuku tu ndio maana hua mambo yote mabaya masunami na midude yote mibaya inawakumbaga wao hata hawashangaagi..!
 
Kwenye picha ya kwanza hapo juu hamkuona mwanamke wa kizungu anagombana na yule mama aliekua anatukana ? huyo ni mzungu anagombania waafrika. Ubaguzi upo kila mahali na kila taifa na kila kabila , kuna watu wazuri na watu wabaya. misiweke watu wote kuwa wabaya.
 
Back
Top Bottom