RA anao utajiri wa zaidi ya 555bil kwa mwaka.Yeye amekiri kuwa ni kweli LEO

eliesikia

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
787
755
“Mimi nilishiriki katika kuwashawishi Dowans kuja nchini. Nitaendelea kushawishi wawekezaji waje nchini ili nchi iendelee, ajira ipatikane na kodi ziongezeke.

“Juzi tu nimetoka Singapore, Malaysia na UAE (Falme za Kiarabu) kuwashawishi wawekezaji kuwekeza kwenye usafiri wa anga,” alisema Rostam.

Alipotakiwa kueleza iwapo yeye ni mmoja wa watu wanaotarajia kufaidika na malipo ya shilingi bilioni 185 ambazo TANESCO inatakiwa kuilipa fidia Dowans, mfanyabiashara huyo alikana kuimiliki kampuni hiyo.

Mbali ya kukanusha hilo, Rostam aliyabeza madai ya baadhi ya wanasiasa wanaohusisha fedha hizo na yeye akisema katika mkusanyiko wa biashara zake anazofanya ndani na nje ya nchi kiasi hicho cha fedha wanazotarajiwa kulipwa Dowans ni sawa na mapato yake ya miezi minne tu.
 
Huyo ni mfanya biashar mwenye mali na mwenye biashara zinazomzalishia kwa wingi, ndani na nje ya Tanzania.

Sasa kisha jibu kuwa ana mali zaidi ya hivyo vi-jenereta vya Dowans, tafuteni jingine.
 
Kitu ambacho hajakisema ni kuwa inadaiwa kuwa yeye ndiye aliyewashawishi Dowans kuja nchini baada ya kutakiwa kufanya hivyo na Rais Kikwete. Na kingine ambacho hajakisema ni kuwa mmojawapo wa wamiliki wa hiyo Dowans (ambaye ni rafiki yake mkubwa) alisaidia kampeni ya JK 2005 kwa kutoa mamilioni ya dola kwa minajili kuwa wakati ukifika na yeye akumbukwe. Hilo hakulisema.
 
Hili jamaa RA ni jizi sana tena kubwa mno anatuchefua wa TZ na kuharibu uchumi wa nchi kwa kutupeleka kwenye recession soon if we are not careful.
 
Kwa hiyo jamaa anataka kutuambia anatengeneza dollar milioni 500 kwa mwaka? Bajeti ya serikali ya Tanzania ni kiasi gani?
 
Tususie VODACOM,TICTS,SEACOM,PAN AFRICAN,CASPIAN,ULTIMATE SECURITY,SHIVACOM,ESTIM CONS,TUWATIMUE WAZUNGU WOTE WA MIGODI YA DHAHABU walau atahisi machungu
 
Hiyo ndo inaitwa JEURI ya hela, ipo siku atatutukana watanzania kwa kukubali mambo hovyo hovyo na kutokuchimba ndani ya ufisadi unaimaliza nchi hii.....He is taking advantage kwa kuwa hakuna regulations zinazowataka watu kueleza mali walizonazo wamezipataje,na accountability inapokosekana wenye nazo hufanya watakalo na kuzungumza lolote.......I wanna be a bilionnaire too,smiling next to RA and El............LOL:embarassed2:
 
lakuvunda halina ubani!... msiba wa kujitakia hauna machungu... tumejitakia wenyewe kutiwa vidole hadi...
 
Kama ni tajiri kiasi hicho, hizi kashfa anazitafutia nini? Tusidanganyane hapa. Hela anazopata Tanzania nyingi ni kwa njia haramu. Na watu kama hawa haataisaidia Tannzania hata siku moja. Wanataka tuwatukuze kama vile ndio miungu yetu.
 
IGP mwema aliwaambia waTZ hawakumuelewa... Kuwakamata MAFISADI nchi itayumba... Hii ndo ilikua maana yake. Mburushi na genge lake wameshikilia uchumi wa Taifa ili. Incredible!!!!
 
Kitu ambacho hajakisema ni kuwa inadaiwa kuwa yeye ndiye aliyewashawishi Dowans kuja nchini baada ya kutakiwa kufanya hivyo na Rais Kikwete. Na kingine ambacho hajakisema ni kuwa mmojawapo wa wamiliki wa hiyo Dowans (ambaye ni rafiki yake mkubwa) alisaidia kampeni ya JK 2005 kwa kutoa mamilioni ya dola kwa minajili kuwa wakati ukifika na yeye akumbukwe. Hilo hakulisema.

Wacha ulimbukeni, Rais Kikwete anamshawishi kila mtanzania anaeweza kuwekeza nchini, kufanya kazi nchini, au anaeweza kuwashawisgi wawekezaji basi na afanye hivyo kwa manufaa ya Taifa.

Au hujawahi kuhudhuria mikutano yake na wa Tanzania waliopo huko huko Merekani ulipojichimbia? Kama hujawahi kuhudhuria basi hata huko kisha waabia sana wa Tanzania wanaoweza kuwashawishi wawekezaji wafanye hivyo na wao wenyewe wa Tanzania kipato wanachopata huko wasisahau nyumbani japo kwa kujenga nyumba zao za kuishi.

Sasa ikiwa Rostam kayafatisha hayo na connectios anazo (na unajuwa kuwa anazo) cha ajabu ni nini? au roho mbaya tuu?

Si Rostam tu mwenye kuwashawishi wawekezaji kutoka nje, tumeshasikia hata kina Mwakyembe na dili lao la umeme hewa.

Jee, unajuwa Artumas walishawishiwa na nani? Jee, unajuwa Mbowe anawawekezaji wa nje wangapi anao deal nao katika vibiashara vyake??

Kuhusu hilo la kuchangiwa kampeni na rafiki zake, kwani Tanzania kuna sheria inakataza kuchangiwa/a kampeni? Hata mimi nimechangia kampeni za Kikwete.
 
Kuhusu hilo la kuchangiwa kampeni na rafiki zake, kwani Tanzania kuna sheria inakata kuchangiwa kampeni? Hata mimi nimechangia kampeni za Kikwete.

El Crapiso
 
Kitu ambacho hajakisema ni kuwa inadaiwa kuwa yeye ndiye aliyewashawishi Dowans kuja nchini baada ya kutakiwa kufanya hivyo na Rais Kikwete. Na kingine ambacho hajakisema ni kuwa mmojawapo wa wamiliki wa hiyo Dowans (ambaye ni rafiki yake mkubwa) alisaidia kampeni ya JK 2005 kwa kutoa mamilioni ya dola kwa minajili kuwa wakati ukifika na yeye akumbukwe. Hilo hakulisema.

AKsante saana MK,
MYTAKE: jamaa katika mazingira ya kawaida tuu utaona hata hiyo Caspian na hayo makampuni mengine 16 anayodaiwa kumiliki pia anapata wapi tenda??? Je kwa njia halali au haramu?? Je huu mtaji amepatia wapi kama si kwa ufisadi??? Maswali magumu saaana afadhali nawe umeweka yako hapo juu...
Japo mimi binafsi sijashangaaa saana kwa kuwa wafanyabiashara woote wakubwa nchini wanajulikana na wanapataje hela... Kwa nini yeye katika makampuni yooote hayo ni Vodacom pekeee ndio jina lake lipo.. Na nasikia na Caspian wale walioileta Richmond nchini... Katika jalada la Richmond wafanyakazi na mabosi woote ndio haohao wa CASPIAN... Pia, kuna mitambo ya Richmond ilirithiwa na Dowans lakini hatukuwahi kusikia Richmond wakilalamika kama wameonewa zaidi ya hawa DOWANS!!! Mi nadhani kuna kajitu hapa kati kanahusika tena huyo sio mwingine bali ni RA... Je ile mitambo itatupwa?? ile ya Richmond maana dowans walirithi mkataba kutoka kwa kampuni hewa<wa mjini tunaita kampuni mfukoni jua kali lakini hulali njaa>..

Nawasilisha!!
 
Wacha ulimbukeni, Rais Kikwete anamshawishi kila mtanzania anaeweza kuwekeza nchini, kufanya kazi nchini, au anaeweza kuwashawisgi wawekezaji basi na afanye hivyo kwa manufaa ya Taifa.

Au hujawahi kuhudhuria mikutano yake na wa Tanzania waliopo huko huko Merekani ulipojichimbia? Kama hujawahi kuhudhuria basi hata huko kisha waabia sana wa Tanzania wanaoweza kuwashawishi wawekezaji wafanye hivyo na wao wenyewe wa Tanzania kipato wanachopata huko wasisahau nyumbani japo kwa kujenga nyumba zao za kuishi.

Sasa ikiwa Rostam kayafatisha hayo na connectios anazo (na unajuwa kuwa anazo) cha ajabu ni nini? au roho mbaya tuu?

Si Rostam tu mwenye kuwashawishi wawekezaji kutoka nje, tumeshasikia hata kina Mwakyembe na dili lao la umeme hewa.

Jee, unajuwa Artumas walishawishiwa na nani? Jee, unajuwa Mbowe anawawekezaji wa nje wangapi anao deal nao katika vibiashara vyake??

Kuhusu hilo la kuchangiwa kampeni na rafiki zake, kwani Tanzania kuna sheria inakataza kuchangiwa/a kampeni? Hata mimi nimechangia kampeni za Kikwete.

ZOMBA acha ushabiki njoo na hati kutoka BRELA hapa tuone hayo makampuni anayo daiwa ROSTAM anafanyia biashara tuone.... Mi najua anayo makampuni zaidi ya 17 hapa nchini... Lakini ni CASPIAN(wale wamiliki wa RICHMOND) na Vodacom tuu ndio utakuta jina lake...

SWALI KWAKO::: Kwa nini RA anaficha ukweli??
 
Tusiwe wavivu wa akili. kila mmoja ana haki ya kutafuta na kumiliki mali. tusiwaonee choyo waliofanikiwa. nasi tutafute mali kwa manufaa yetu na jamii yetu pia.
 
Angekuwaa na utajiri wa pesa halali asingeasisi mpango wa Kagoda kuwaibia walalahoi wa tz wasiokua na uwezo wa mlo mmoja kwa siku pesa zao.
Hivi jamani kuna mtu anakumbuka Mabutu aliacha bei gani alipokufa? Na zilisaidiaje familia yake baada ya kifo chake?
.
 
Back
Top Bottom