RA ajipongeza kwa tafrija

Omutwale

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
1,429
1,045
Weekend iliyopita RA amefanya tafrija ya kujipongeza kwa kulipua bomu jipya liitwalo NYANGUMI WA UFISADI.

Tafrija hii imefanyika nyumbani kwa RA, maeneo ya ubalozi wa Marekani wa Zamani, kuna mnara wa vodacom. (wengi walifikiri RA aliposema yeye siyo sawa na Mengi anayeishi kwenye mafleet basi hana pango Dar! Mbaya zaidi hili pango lilikuwa nyumba ya serikali)

Wengi wa walioudhuria tafrija hii ni vibaraka wa RA toka usalama wa taifa na tasnia ya habari. Mawaziri kama Marsha pia walikuwepo.

Vibaraka wote walipewa bakshishi ndani ya bahasha katika viwango tofauti. Usalama wa taifa laki moja wakati waandishi wengi walipata bahasha za alfu kumi.

Tafrija ilifana na ilipambwa na wimbo wenye kiitikio kimoja tu “umemumaliza Mengi”

Nikiripoti toka kona ya Earnest & Young, ni mimi zao la watoto wa chabo, utajaza…….
 
Weekend iliyopita RA amefanya tafrija ya kujipongeza kwa kulipua bomu jipya liitwalo NYANGUMI WA UFISADI.

Tafrija hii imefanyika nyumbani kwa RA, maeneo ya ubalozi wa Marekani wa Zamani, kuna mnara wa vodacom. (wengi walifikiri RA aliposema yeye siyo sawa na Mengi anayeishi kwenye mafleet basi hana pango Dar! Mbaya zaidi hili pango lilikuwa nyumba ya serikali)

Wengi wa walioudhuria tafrija hii ni vibaraka wa RA toka usalama wa taifa na tasnia ya habari. Mawaziri kama Marsha pia walikuwepo.

Vibaraka wote walipewa bakshishi ndani ya bahasha katika viwango tofauti. Usalama wa taifa laki moja wakati waandishi wengi walipata bahasha za alfu kumi.

Tafrija ilifana na ilipambwa na wimbo wenye kiitikio kimoja tu "umemumaliza Mengi"

Nikiripoti toka kona ya Earnest & Young, ni mimi zao la watoto wa chabo, utajaza…….

......eeehh?......haya bana
 
ANGALIA USIINGIZE Earnest & Young MATATIZONI NDUGU

KANUSHO:
Habari hii haihusiani kwa namna yoyote ile na Earnest & Youngs. Na mhabarishaji hana uhusiano wowote uwe wa kikazi au kihuduma toka Earnest & Youngs.
 
Ernest & Young! mleta habari alikuwa maeneo yalipo jengo la Ernest & Young wakati akiwa anapiga chabo hapo mahali kama nimemuelewa vizuri.
 
Story itapendeza kama ukituwekea picha (still/video); mkono mtupu haulambwi

Thanks mkuu, actually pia itakuwa vyema kujua kama na Mengi naye amefanya tafrija ya kujipongeza kwa ujasiri wake
 
Kweli RA amekwisha tafrija ya nini sasa?kwa ujinga wake huo??maana ni aibu sana kwa uongo wake dhidi ya RM
 
Sawa tu achekelee tu kuwahonga hao vibaraka wake wakiwamo UWT. Kuna siku tu atakimbia nchi hii!!
 
Mimi naona hii habari imekaa kikufikirika vile (ya kutunga). Sijui kama ni kweli.
 
Masha naye alikuwepo! tehe tehe tehe haa haaaa!.
Si wana bifu na RM lazima awepo maana adui wa adui yako ni rafiki yako!
lakini Masha ana bomu lake la vitambulisho vya uraia
 
Jambo moja nilikuwa sikujipa kazi ya ziada kufikiri kwa miaka kadhaa, ni ofisi moja iliyopo hapo karibu na hiyo nyumba ya RA. Nilistaajabu kujulishwa kuwa ni Ofisi Ndogo ya Usalama wa Taifa maarufu sasa kama Usalama wa Mafisadi. Sikuwa na la ziada zaidi ya kukubali RA ni rais asiye Ikulu. Yaani analindwa 24hrs na UWT???!!!
 
tatizo tunapenda kuangalia vitu kwa vipande vipande... (fractured)..

Ni kweli lakini hata hivyo bado pia kwenye hivyo vipande ni baadhi tu wenye jitihada ya kuviunganisha na ni wachache sana wenye uwezo wa kuiona picha kutokana na vipande kuunganishwa.
 
sherehe! kujipongeza kwa lipi? au takukuru wameshaandika mashtaka na wakamwonyesha rostam?
 
Hivi waandishi wa TZ ni rahisi kiasi hicho? Shilingi elfu kumi??? Hao UWT nao kweli laki moja? Napata taabu kuamini stori kama hiyo. Kumbuka bei ya mafuta iko juu na hongo ni lazima iwe na mvuto..... Tukitunga tutunge kwa akili zaidi....
 
Back
Top Bottom