Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Wana JF hebu tudiscuss hii mada,
Nini maana ya R.S.V.P kwenye kadi ya mualiko etc na je inatekelezwa?
Rice and Stew Very Plentful!
Wana JF hebu tudiscuss hii mada,
Nini maana ya R.S.V.P kwenye kadi ya mualiko etc na je inatekelezwa?
"r'epondez s'il vous plait tena kwa wezetu usipofika kwenye hiyo shughuli huwa ni tatizo mostly ukiandaa na ww ya kwako huwa hawaji coz u didnt go(wat goes aroung)but kibongobongo wengi wanaandika bila kujua maana na hata tunaojua maana hatufanyi tunavyotakiwa kufanya,hii inasaidia hasa ktk kubudget chakula na vinjwaji sio bongo hela hatuna mavyakula tunamwaga ovyo utasema tunavyo,very bad.
Jamani kaka hivyo ulivyosema sasa ya nini namba ya simu pembeni.Rice and Stew Very Plentful!