I really hate to say this, but I think sometimes Mushi you try so hard to force an issue that yuo like and you are completely blinded with other factors that may affect your preposition.
I will tell you this, if Mengi was unable to control his male hormones and cheated on his wife of 30+ years what makes you believe he will not try to be crafty and deceive Watanzania?
Mengi was one of BOT-CIS debtors and after the announcement that BOT was going to publish the names, he rushed to pay off the outstanding debt (la miaka karibu 10) what sort of character do you get from someone like him? shouldnt we line him up with Mbowe on NSSF saga?
Do not try to portray the guy like a saint or clean, he is not. A "simple" thing as infidellity or adultery is serious enough!
Kashfa za adultery?
Huko hata tusiende!
Sasa na hao wazito wengine ambao wengineo ni wachungaji kama wewe kama kina Kilaini wakisema vinginevyo then tuwasikilize wao ama wewe?
I thought you was gonna come with the facts.
Halafu rev with all due respect usiwe unakuja tu na kuanza kushambulia watu eti i am trying too hard to force?!
Kwanini all the time unapenda kwenda nje ya mada na kuanza ku attack watu?
Hiyo tabia si safi kabisa rafiki yangu!
Umsichunguze kuku utashindwa kumla au better the devil you know than the devil you don't.....yupi bora?
Hoja yako ni kuhusu Mengi, si kuhusu watu wa CCM, Wachungaji au Mashekhe! Hivyo nao hao ambao wanaudhaifu na wamefanya makosa watahukumiwa na kupimwa kwa mizani zao.
Unajua Mushi, Mpita Njia alitoa maoni yake, ukamjibu kwa kumshurtisha aje na mengine zaidi ya majibu hayo "mepesi".
Sasa kama ungeyapokea maoni yake na kuheshimu, sawa na maoni ya wengine humu ambao tayari walishasema Mengi hafai kuwa mwana siasa, then nisingekuasa kuwa acha kusokomezea hoja kwenye makoo na bongo za watu.
Umeshajenga taswira moja maarufu kubwa kuwa kama mtu akileta hoja inayopingana na wewe, basi unashupalia si kwa hoja bali kwa miguvu kuwa maoni ya wengine ni haba au batili na kuwa wote wanaopingana hoja nawe ni mafisadi au vibaraka wa Kikwete (nukuu kibao ziko kuhusiana na hili). Ndio maana hata Moelex alikuasa kwenye hoja moja kuwa hamko kwenye mawimbi ya frikwenti moja ,akakuomba samahani umuache kipekee!
Umempamba Mengi kama ni mtakatifu fulani ambaye ndiye bora kabisa.
Mimi nimekupa swali dogo sana, kama alikosa kuwa mwadilifu katika ndoa yake na kuanza kuchanja mbuga hata kabla ya kuachana rasmi na mkewe, je ni taswira gani hiyo?
Wewe ilitaka maoni, nimekupa facts. Mengi alizini (au alifanya uasherati) akiwa katika ndoa. Mengi alikimbia na kulipa deni la BOT kama sikosei ni February au March mwaka huu ili kuzima moto ambao ulikuwa umwakie kutokana na yeye "kufichua" madhambi ya vigogo wa Serikali!
Sasa kama anahaya matongotongo, na Mpita Njia anakuambia kuwa jamaa anafaa kuwa mfanya biashara lakini hana uwezo wa kuongoza watu, kwa nini usikae chini utulie ujiulize kama huyu uliyedhani ni "mtakatifu" ni kweli anafaa au ni bora utafute mwingine?
Je umesahau alichofanya Mengi kutaka kuzima hoja za kumchambua wakati ule wa Jambo Forum kuhusu sakata lake na Manji? Kama alithubutu kutaka toa chochote ili watu wasizungumze uchafu wake, je huyu anafaa kweli kuwa Raisi kwa nyakati hizi ambazo tunatafuta mtu bora baada ya kujifunza kwa makosa yetu?
mengi ni mfanyabiashara maarufu kama bakhresa vile.
ukiwatizama kijuu juu, wote wanasaidia jamii ya kitanzania katika mambo tofauti. tofauti yao kubwa ni kuwa mengi ameshikilia media, na ni rahisi mema yake kutangazwa kila kona ya tanzania na kwengineko duniani.
matatizo yao ya kodi au mikopo siijui, lakini Rev Kishoka ametupa mfano wa mengi aliyekuwa hajalipa madeni yya BOT mpaka alipofikiri atatangazwa akalipia.
jee wanafaa kuwa viongozi kwa nafasi ya uraisi?
hapana.....kwa sababu maadili ya uongozi yanakataza kufanya shughuli za kibiashara ukiwa ikulu, na mtu mwenye business empire kama Mengi, ni lazima kuendeleza biashara yake akiwa huko.
jee biashara zake hazitoathiri maamuzi yake ya serikalini?
kama mengi ni binaadamu wa kawaida kama mimi na wewe mushi, basi lazima ataendeleza biashara zake akiwa ikulu na zitaathiri kwa njia moja au nyengine maamuzi yake kwa mambo ya serikali.
ps, watu wenye dream ya kuiona tanzania ipo bila ya corruption ni wengi sana, na maneno hayo kwa watu maarufu hakuyaanza yeye, kakobe aliyasema mwaka 2000, na leo hii anakaa high table mikutano ya ccm.
dreams zinazungumzwa mara nyengine, kuwavutia watu wa chini tu na si vyenginevyo
Hoja yako ni kuhusu Mengi, si kuhusu watu wa CCM, Wachungaji au Mashekhe! Hivyo nao hao ambao wanaudhaifu na wamefanya makosa watahukumiwa na kupimwa kwa mizani zao.
Unajua Mushi, Mpita Njia alitoa maoni yake, ukamjibu kwa kumshurtisha aje na mengine zaidi ya majibu hayo "mepesi". Ukawa king'anganizi kubisha yanayosemwa na kuyafanya ni ajizi za Kibuge!
Sasa kama ungeyapokea maoni yake na kuheshimu, sawa na maoni ya wengine humu ambao tayari walishasema Mengi hafai kuwa mwana siasa, then nisingekuasa kuwa acha kusokomezea hoja kwenye makoo na bongo za watu.
Umeshajenga taswira moja maarufu kubwa kuwa kama mtu akileta hoja inayopingana na wewe, basi unashupalia si kwa hoja bali kwa miguvu kuwa maoni ya wengine ni haba au batili na kuwa wote wanaopingana hoja nawe ni mafisadi au vibaraka wa Kikwete (nukuu kibao ziko kuhusiana na hili). Ndio maana hata Moelex alikuasa kwenye hoja moja kuwa hamko kwenye mawimbi ya frikwenti moja ,akakuomba samahani umuache kipekee!
Umempamba Mengi kama ni mtakatifu fulani ambaye ndiye bora kabisa.
Mimi nimekupa swali dogo sana, kama alikosa kuwa mwadilifu katika ndoa yake na kuanza kuchanja mbuga hata kabla ya kuachana rasmi na mkewe, je ni taswira gani hiyo?
Wewe ilitaka maoni, nimekupa facts. Mengi alizini (au alifanya uasherati) akiwa katika ndoa. Mengi alikimbia na kulipa deni la BOT kama sikosei ni February au March mwaka huu ili kuzima moto ambao ulikuwa umwakie kutokana na yeye "kufichua" madhambi ya vigogo wa Serikali!
Sasa kama anahaya matongotongo, na Mpita Njia anakuambia kuwa jamaa anafaa kuwa mfanya biashara lakini hana uwezo wa kuongoza watu, kwa nini usikae chini utulie ujiulize kama huyu uliyedhani ni "mtakatifu" ni kweli anafaa au ni bora utafute mwingine?
Je umesahau alichofanya Mengi kutaka kuzima hoja za kumchambua wakati ule wa Jambo Forum kuhusu sakata lake na Manji? Kama alithubutu kutaka toa chochote ili watu wasizungumze uchafu wake, je huyu anafaa kweli kuwa Raisi kwa nyakati hizi ambazo tunatafuta mtu bora baada ya kujifunza kwa makosa yetu?
Mengi kama anapigana na ufisadi aliifanya nini NBC. Halafu kwa nini alikuwa anaiibia matangazo Channel Ten wakati wa mashindano ya World Cup 2002 kitendo ambacho yeye mwenyewe mwaka 1994 alikuwa anakipinga. Tumwache afanye biashara zake basi. Kwenye siasa hana hicho kichwa na ndiyo maana hakawii kulialia kwenye TV kila anapoguguswa
Kwa taarifa yako Mchungaji Methedeos Kilaini aki muendorse then sitasikiliza kauli za mchungaji wewe mwenye chuki!
Naomba uje tu na facts bila rhetorics zenye chuki!
Hizo mwachie Mnyama hatari na wenzake!
Tujaribu kuwa civilized hapa ili kui preserve hishma ya jei efu!
Mi nakwambia wenye kumchukia Mengi ni wachache sana na ana maadui wengi kibinafsi haswa haswa inapokuja kwenye business!Ila ana wanaompenda wengi zaidi ya hao maadui wenye chuki za kikabila na dini!
Ila kesi wakipelekewa wananchi na wao ndio wawe waamuzi..Then mtapata tabu forces za ufisadi!
Halafu mimi nawshangaa nyie kuwa out of touch!
Mengi akirun urais ndio mtajua ni mapenzi kiasi gani wananchi wakawaida waliyonayo kwa mtu huyu!
Mwambie achukue fomu za kugombea urais ndiyo atajua watanzania wangapi wanampenda. Maana hiyo ni haki yake. Lakini mwambie asilielie tu wakati wa kampeni maana hapo ndipo unapoweza kutofautisha boys from men in politics