R.I.P Troy Davis

tupeni story yake,RIP troy
Troy Davis ni African American, amekuwa jela kwa miaka 22 akituhumiwa kumuua polisi, MacPhail, aliekuwa katika doria huko Atlanta, Georgia, USA. Amekuwa katika death row kwa miaka 22. Death Row is a worst place ambapo mfungwa anetuhumiwa kwa mauaji huwa anawekwa. Ni sehem ya upweke sana, mfungwa anakuwa peke yake huku amefungwa minyororo. Kati ya masaa 24 Mfungwa anaruhusiwa kutoka kwa saa 1 tu kwa ajili ya mazoezi na kupata fresh air, lakini kwa masaa 23 anakuwa amefungiwa tu. Mahakama ilimuhukumu adhabu ya kifo lakini hapakuwa na ushahidi wa kutosha. Hukumu yake imewahi kuahirishwa mara 3 dakika chache kabla ya kuchomwa sindano ya sumu (leathal injection) tangia mwaka 2007. Kesi ya troy ilivutia maelfu ya waandamanaji wakiwemo Amnesty Internation, Former US president Jimmy Carter, retired correction officers, former warden for georgia prisons, Retired Director of Department of cerrection, na pia watu maarufu kama P'diddy na Pop Benedict walipinga kwa nguvu hukumu hiyo.Hukumu hyo imechukua muda mrefu kwa sababu hapakuwa na ushahidi wa moja kwa moja wa kuthibitisha kama kweli troy alimuua polisi, ila tu walijitokeza mashahidi 9 (eye witnesses) waliosema walimuona troy eneo la tukio. Lakini baadae mashahidi 7 kati ya 9 waliwithdraw statements zao na walisema polisi waliwaforce kusema/kushuhudia uongo. Pia polisi wanadai walikuta ganda la risasi inayoaminika ndio iliyomuua huyo polisi, na pia inaaminika troy ndie aliekuwa mmiliki wa hiyo bastola. Hakuna ushahidi wa kutosha kumpa Capital Punishments mtuhumiwa.Mpaka dakika ya mwisho ya uhai wake, troy alikana kuhusika na mauaji hayo, na haya ndio maneno yake ya mwisho, "'I'd like to address the MacPhail family. Let you know, despite the situation you are in, I'm not the one who personally killed your son, your father, your brother. I am innocent. The incident that happened that night is not my fault. I did not have a gun. All I can ask... is that "after my death" you look deeper into this case so that you really can finally see the truth."
 
inaumiza kwa yeyote mwenye mwili na moyo, mungu akupumzishe vema kaka na mama bikira maria mkingiwa dhambi ya asili akupokee mikononi mwake umekufa kifo cha sumu ama kweli dunia hii, wamekuondoa kwa mateso makali ya sumu ndani ya moyo dahh
 
Me kwenye ukurusa wangu FB nimetoa picha yangu nakueka picha ya brother TROY DAVIS na itakaa kwa wiki nzima nilimsikiliza dada yake MARTINA CARREIA NA MARTIN LUTHER KING 111 maneno waliyoyasema -:
thy say tht we're defeated , thy say tht we hv n't won , bt if troy's name is being heard in madagascar we hv won lakini yote kwa yote R I P KAKA wa rangi yetu
 
I'd like to address the MacPhail family. Let you know, despite the situation you are in, I'm not the one who personally killed your son, your father, your brother. I am innocent.The incident that happened that night is not my fault. I did not have a gun. All I can ask ... is that you look deeper into this case so that you really can finally see the truth. I ask my family and friends to continue to fight this fight. For those about to take my life, God have mercy on your souls. And may God bless your souls.
—Troy Davis​
 
Mahakama ya kadhi ikipitishwa hatutakuwa tukishangaa matukio kama haya..ma ustadhi si watakuwa wanatembea na mawe..SAY NO TO DEATH PENALTY.!
 
R.I.P tulobaki tujiangalie matendo yetu yanaweza kututupa wapi,sio mtu kakataa kukununulia bia unaleta zaa zaa linalosababisha maisha ya mtu yanapotea!
Nadhani hujawahi kupakaziwa jambo ndio maana unaamini kwamba Davis alikuwa guilty, omba Mungu umalize safari yako salama..........
 
Mahakama ilimuhukumu adhabu ya kifo lakini hapakuwa na ushahidi wa kutosha.
Sio kweli. Mahamaka iliona kuna ushahidi beyond a reasonable doubt kwamba jamaa aliua ndio maana ikamwona ana hatia, acha kupotosha.

Kuhusu kufungwa minyororo masaa 23 nayo ni kamba, hakuna kufungwa mtu minyororo kwenye chumba cha 2 by 2. And by the way, hata mwenye "kesi ya kuku" aki misbehave humo ndani anaweza kuwekwa in the hole for the 23-hour lock down.
 
Sio kweli. Mahamaka iliona kuna ushahidi beyond a reasonable doubt kwamba jamaa aliua ndio maana ikamwona ana hatia, acha kupotosha.

Kuhusu kufungwa minyororo masaa 23 nayo ni kamba, hakuna kufungwa mtu minyororo kwenye chumba cha 2 by 2. And by the way, hata mwenye "kesi ya kuku" aki misbehave humo ndani anaweza kuwekwa in the hole for the 23-hour lock down.

Kama palikuwa na ushahidi wa kutosha basi tuambie kilichofanya hukumu yake kuahirishwa mara 3 since 2007, na pia tuambie kilichosababisha delay ya masaa 3 kwenye utekelezaji wa hukumu yake ya 4.
 
Watu weusi tunadhulimiwa sana haki zetu.
Troy, Mungu akupumzishe kwa amani

kama kawaida yako mzee wa kubwabwaja! hata wazungu pia nao wananyongwa bila hatia sema watu shallow kama wewe hamjui basi mnakimbilia kubwabwaja tu ooh watu weusi tunaonewa, sheria iliwekwa na imefuatwa suala la yeye kutokuua au la ni suala lingine, cha kujifunza hapo ni ubaya wa sheria tunazojiwekea wenyewe na madhara yake kwetu. Sawa bwana mkubwa!??
 
Back
Top Bottom