R.I.P Maulid Hamad Maulid

Ina lillahi wa ina ilaihi rajiun, Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe, mungu ampe malazi mema amen
 
Wakuu naomba kujua hii ni lugha gani?
hiyo ni lugha ya kiarabu na kila muislam anapopata msiba anatakiwa aseme hivyo,na maana yake ni hakika sisi tumetoka kwake na kwake ni marejeo kwa muumba,nadhani mimekujibu.
 
Mwandish wa habari wa siku nying wa huko visiwan z'bar bw Maulid Hamad Maulid amefariki dunia,aliwai kuwa msemaji wa ZFA,ki0ngozi wa timu ya wakombozi wa ng'ambo,na mwakilish wa Radio one na ITV
 
se! poleni mlofikwa na msiba, mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu!
 
Upumzike kwa amani MAULID HAMAD MAULID a.k.a BABA YETU.....

Wana michezo tutakukumbuka sana kutokana na juhudi zako za kuendeleza michezo hasa mpira wa miguu.....Marehemu aliwahi kuwa Rais wa timu machachari kabisa ya Taifa ya Jang'ombe 'Wakomozi wa ng'ambo'

Inna Li Llahi wa Inna ILlahi Rajiun...
 
tumwachie Mungu mwenyewe amukumu na sio kumuombea eti alazwe mahali pema peponi mbona amsemi alazwe mahali pabaya kuzimu
HMH tulikupenda sana
 
Back
Top Bottom