R.I.P Maligo

RIP in Peace: C. Maligo

Pole sana ndugu, jamaa na marafiki...

Pale Moshi Tech Secondary jina lako halitasahuliwa!
 
R.I.P Costa! Wana Yanga huu ni msiba mkubwa kwenu, Maligo alikuwa mtetetzi mkubwa wa maslahi ya Yanga Imara. na refusha mkono wangu wa pole kwa Prof. Mkandara na wafanyakazi wote wa UDSM kwa kuondokewa na mpambanaji huyu!
Kwa familia ya Maligo, Mungui awape nguvu ya kuhimili machungu ya kipindi hiki kigumu sana kwenu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom