R.A kujiuzulu?

I think tunahitaji short course ya vitu muhimu vinavyohitaji katika any post ili kuondoa hili tatizo la ku issue post yenye incomplete info. Ukiona heading unafungua post haraka halafu unakutana na kitu cha ajabu.
 
anajiuzulu katika lipi? manake inabidi mpaka vijana wake wote nao waondolewe sehemu walizopo ukianzia na waziri wa nishati na madini
 
I think tunahitaji short course ya vitu muhimu vinavyohitaji katika any post ili kuondoa hili tatizo la ku issue post yenye incomplete info. Ukiona heading unafungua post haraka halafu unakutana na kitu cha ajabu.

kumbe wewe unakurupuka kufungua thread kutokana na kichwa chake eegh? haya wewe ni majungu tupu yanakusumbua, hebu uwe unafungua zote sio za ccm vs cdm tu mpuuzi kabisa wewe, leo umekomeshwa.
 
This is not surprising at all since its coming from Jikedume, u must be active on the ''jike'' side of ur ''jikedume'' gender.
 
mhhhh jf smetime inachanganya.

Kwenye siasa unaweza kukuta thread jokes. Kwenye jokes ukakuta thread hata ambazo hazichekeshi. kwenye Dini ukakuta mambo ya siasa....
 
Back
Top Bottom