Quote of the Week

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,009
On choosing the perfect man

"Cute's good, but cute only lasts for so long....and then it's who are you as a person? Don't look at the bank book or the title. Look at the heart and soul...When you're dating a man, you should always feel good...you should not be in relationship with somebody who does not make you completely happy and make you feel whole."

*~* First Lady Michelle Obama *~*
 
.And for this you should have a relationship with the person that loves you more than you love him/her!!
 
Nimefanya survey ofisini kwangu (ofisi yenye watu 65, nadhani ni wengi wa kutosha) na kukuta kwamba asilimia 70 yao wameoa, ama kuolewa na watu ambao kwa sasa wanajuta kuwa nao, japo siku za mwanzo walikuwa wanapendana!...Sad news... lakini ndo ukweli!

Wengi wao wanasema hawakujua tabia za wenza wao, na wakafanya mipango ya ndoa harakaharaka!

BAK, Sasa sijui hii thread inasaidia vipi watu ambao tayari wameshatumbukia kwenye ndoa za hivi...je kuna dawa?
 
Mkuu PJ, Ndoa kama uhusiano wowote ule haukosi matatizo ya hapa na pale ambayo ni madogo na makubwa pia. Kama wahusika wanaithamini ndoa yao na kuona kuna umuhimu wa kufanya kila wawezalo ili kudumisha ndoa yao basi hakuna litakaloshindikana. Tatizo siku hizi watu wana give up haraka sana katika maisha ya ndoa. Tatizo dogo tu basi linaweza kukuzwa na kuwa kubwa kupita kiasi na kuweza hata kuharibu ndoa ya wahusika.
 
Back
Top Bottom