Quote From: The President Dr. Jakaya M. Kikwete!

Well said mkuu nami naunga mkono hoja though tunarudi kule kwenye msimamo wangu na wajibu wa rais.... hapo kwenye red....Kama wateule hao wa rais hawafanyi kazi zao ipasavyo..je rais anajua?? kama anajua basi hilo ni tatizo kwasababu anaacha watu wasiofaa, wasiojua wajibu wao na ambao hawamsaidii rais.

Kama hajuibasi hilo ni tatizo kubwa zaidi....

Upo Sahihi Mkuu wangu, na ndio maana kwenye post yangu # 15, nilisema hivi: ".....Kilichobaki, na ama kilichokosekana toka kwake yeye binafsi (Rais) na watendaji wengine ni kuchukua hatua stahiki kutokana na reform husika!" Mwisho wa nukuu.

Hivyo basi, hatua stahiki kwa Rais ni hizo ulizotaja wewe! Alitakiwa kujiuliza, kama kila ripoti inaonesha madudu, je TAKUKURU hadi sasa wamechunguza tuhuma ngapi na nini matokeo ya uchunguzi huo. Je, DCI amepiga hatua zipi katika hilo! DPP nae amepeleka kesi ngapi mahakamani hadi ripoti nyingine inatoka! Hapa bila shaka panahitaji sheria iliyopitishwa na bunge kwamba kabla ya ripoti ya pili ya CAG kusomwa, TAKUKURU, DCI na DPP watoe kwanza ripoti ya uchunguzi wao wa ripoti ya nyuma(ya CAG).
 
Kwa uzoefu wangu kila speech ambayo kikwete huwa anatoa kuna kuwa na quote hii siyo mara ya kwanza.Issue hapa siyo quote ni Utekelezaji wa hizo quate ndiyo msingi wa matatizo.
 
Upo Sahihi Mkuu wangu, na ndio maana kwenye post yangu # 15, nilisema hivi: ".....Kilichobaki, na ama kilichokosekana toka kwake yeye binafsi (Rais) na watendaji wengine ni kuchukua hatua stahiki kutokana na reform husika!" Mwisho wa nukuu.

Hivyo basi, hatua stahiki kwa Rais ni hizo ulizotaja wewe! Alitakiwa kujiuliza, kama kila ripoti inaonesha madudu, je TAKUKURU hadi sasa wamechunguza tuhuma ngapi na nini matokeo ya uchunguzi huo. Je, DCI amepiga hatua zipi katika hilo! DPP nae amepeleka kesi ngapi mahakamani hadi ripoti nyingine inatoka! Hapa bila shaka panahitaji sheria iliyopitishwa na bunge kwamba kabla ya ripoti ya pili ya CAG kusomwa, TAKUKURU, DCI na DPP watoe kwanza ripoti ya uchunguzi wao wa ripoti ya nyuma(ya CAG).

Mabosi wa DPP na PCCB wapo kusafisha maswahiba wa JK mafisadi basi. Hosea kazi yake kubwa ni kusema "tunachunguza' au 'hakuna kigogo aliyehusika na ufisadi katika tuhuma za radar'.
 
Unafikiri anayoyasema angeyasema kama Waziri mkuu asinge tishiwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na wabunge maji yalishaifika shingoni serikali yake hana namna zaidi ya kuteka hoja za wabunge kina Zitto na kujiunganao kuwa adabisha wabadhirifu kama ataweza maana tulitarajia leo hii wasingekuwa madarakani ndio maana tunaseka JK nidhaifu sana kiutendaje hotuba yake inarudia mambo ya bungeni ambayo sisi tunayajua na tumeyaona sehemu iliyobaki ni yake atekeleze kuwadabisha watendaji wake na mawazili wke aache porojo hakuna kitu hapo Willie.

Kaka ukifanya mtihani wa watu wasio wakweli utakuwa wa kwanza, kuwa mkweli kazi ya kuabadilisha mfumo tena uliokuwa unawanufaisha baadhi ya watendaji ndani ya serikali sio kitu cha siku moja, jaribu kutafsiri hotuba yote kwa vitendo ndiyo utaona uzito wa kazi na muda uliotumika na pia utaweza kubaini jk ni kiongozi kiongozi shupavu na maamuzi magumu.
 
kuna mahali alisema, 'binadamu wana tabia ya kusahau, mimi ndie niliyeanzisha utaratibu wą kuweka wazi ripoti za ukaguzi...' swali langu ni kuwa, kuna faida gani kuweka wazi ripoti bila kuwajibishana,kama lingekuwa ni jambo lenye tija wala asingahitaji kutukumbusha. au ndio mambo ya upepo hayo.
 
- Kwani CAG imekuwepo kwa muda gani? Maaana hii ni mara yangu ya pili kuisikia, mara yangu ya kwanza ilikuwa Dr. Kikwete aliposhika utawala mambo ya mabalozi walioiba, wengine wakafikishwa kwenye Sheria na wengine walilazimishwa ku-retire na kulipa walizoiba.

- Hii ni mara ya pili nawasikia tena CAG, naomba kukuuliza walianza lini hawa CAG? Mbona huko nyuma kwenye awamu zingine hatukuwahi kuwasikia?

William.

William Kabla ujajibiwa naomba kuuliza hivi CAG ni Taasisi au cheo?
 
kuna mahali alisema, 'binadamu wana tabia ya kusahau, mimi ndie niliyeanzisha utaratibu wa kuweka wazi ripoti za ukaguzi...' swali langu ni kuwa, kuna faida gani kuweka wazi ripoti bila kuwajibishana,kama lingekuwa ni jambo lenye tija wala asingahitaji kutukumbusha. au ndio mambo ya upepo hayo.
hiyo 'mimi ndiye niliyeanzisha...' na yenyewe ni kutafuta ujiko/sifa tu...hana dhamiri ya dhati huyu jamaa wa msoga...!
 
Kwa hili la uwazi, Kikwete tutamkumbuka. Maana kabla yake repoti ya CAG huwa inabaki ikulu na haipelekwi kwa wananchi. Kwa hili Bravo Kikwete.

Huna hakika na kitu unasema. Uzembe wako wa kusoma umekufanya ufikiri ulivyofikiri. Sio kweli kabisa kwamba 'repoti ya CAG huwa inabaki ikulu na haipelekwi kwa wananchi" unajiaibisha kuandika vitu namna hii.
Siku zote na miaka yote na kwa awamu zote ripoti hii imetinga bungeni, tena wabune mara kwa mara tokana na ripoti hii wamekuwa wakiombwa ridhaa ili pesa zilizopotea zifutwe kwenye hesabu za serikali na kuhesabika hasara. Na yote hayo yalitokana na ripoti hii hii. Tena wabunge hawa hawa na wengi wakati huo wakiwa wa ccm walikuwa wakiridhia ifanyike hivyo bila maswali wala nini.
Sasa swali langu wabunge wakati ule walifanya yote hayo kwa kutumia ripoti ipi? Wakati mwingine kunyamaza kunakusaidia kufunika ignorance. Asante
 
Mkuu ni JK anatisha sana, majambazi na wezi wanamuogopa sana.

Ila naona tatizo anafight alone maana huku kwenye maidara kuna mchwa
Majambazi na wezi ni kawaida kuogopana. Kwa sababu hayajui ni nani atamzidi mwenzake kete.
 
Kwa hili la uwazi, Kikwete tutamkumbuka. Maana kabla yake repoti ya CAG huwa inabaki ikulu na haipelekwi kwa wananchi. Kwa hili Bravo Kikwete.

sioni logic report iwe inawekwa wazi alafu rais haifanyii kazi mawaziri hawajiuzulu na yeye hawafukuzi...bora ingebaki kama zamani iwe tu kimya kimya kila mtu anaendelea na shuhuli kama kawaida
 
Mkuu Wiliam
Jk alikuwa na ripoti ya CAG hata kabla hajasafiri,CAG anawasilisha ripoti hiyo kwa rais kabla ya Bunge,ni wazi Rais aliona ni upepo utapita.
Mkuu pengine mimi ndio sielewi,lakini sioni mantiki ya mkuu wa kaya kufurahishwa na ripoti mbaya ya CAG
- Baba yangu ameniambia mara nyingi sana kwamba huwezi kuongoza bila kukubaliana na wenzako, HOWEVER: hivi ni kweli alienda CC kuomba ushauri au CC ndio waliomuomba on their own kwa niaba ya chama,

- I mean Rais alikuwa nje, amerudi amekuta saga la CAG na mawaziri, eti ni siku hiyo hiyo aliyoshuka anawafukuza mawaziri na kutangaza baraza jipya? Siamini kwamba alienda CC kuomba ushauri, ninaamini kwamba kilikuwa ni kikao cha kawaida kila mwisho wa mwezi, lakini hata kama alienda kule for that bado ni within the rules za chama, au?

William.
 
- Kwani CAG imekuwepo kwa muda gani? Maaana hii ni mara yangu ya pili kuisikia, mara yangu ya kwanza ilikuwa Dr. Kikwete aliposhika utawala mambo ya mabalozi walioiba, wengine wakafikishwa kwenye Sheria na wengine walilazimishwa ku-retire na kulipa walizoiba.

- Hii ni mara ya pili nawasikia tena CAG, naomba kukuuliza walianza lini hawa CAG? Mbona huko nyuma kwenye awamu zingine hatukuwahi kuwasikia?

William.
CAG amekuwepo tangu mwanzo wa Jamhuri. Nakumbuka miaka ya 70 CAG alikuwa anakuja kufanya ukaguzi katika ofisi za ubalozi wa Tanzania nchi za nje ikiwemo ya hapa Washington D.C. Tofauti ya sasa na wakati huo ni kwamba a/ ubadhirifu wa mali za umma umekithiri kupita kiasi, na b/ mwundo wa bunge letu hivi sasa si tofauti. Ripoti za CAG bunge limekuwa linapewa mbona hawakupiga kelele mwaka 2007?
 
Mkuu Wiliam
Jk alikuwa na ripoti ya CAG hata kabla hajasafiri,CAG anawasilisha ripoti hiyo kwa rais kabla ya Bunge,ni wazi Rais aliona ni upepo utapita.
Mkuu pengine mimi ndio sielewi,lakini sioni mantiki ya mkuu wa kaya kufurahishwa na ripoti mbaya ya CAG

- Ninaamini amesema wazi kwamba amefurahishwa kwamba ripoti imesomwa wazi na kila mwananchi ameisikia na kuelewa kinachoendelea, binafsi sikujua kwamba CAG imekuwepo toka awamu ya kwanza, sasa huko nyuma nani alikuwa anasoma ripoti ya CAG mbona hatukuwahi kuisikia?

William.
 
- Una maana:

Mutuz Le Baharia the Big Shooooow!@New York City;USA.; ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!

William.

Mkuu hii kasi ya kujipendekeza kwa JK inatisha, umeahidiwa nafasi moja kati ya zile kumi za dezo nini?

Watanzania kweli mmelogwa, yaani JK kashindwa kutimiza wajibu wake wa kuweka ripoti wazi kwa zaidi ya miaka mitano, now anakumbuka wakati nchi imefilisika na yeye ametajirika kupitia makampuni ya Riz1 halafu bila haya tena kutokea NYC unamsifia. Sawa na mtu mzima kajisaidia haja kubwa kitandani halafu akasafisha then mnampongeza kwa kujitambua na kutoa uharo wake wakati tayari ameishajivunjia heshima
 
- Labda wewe unisaidie mimi mkuu, maana sikujua kwamba ilikuwepo for years eti toka awamu ya kwanza napata kigugumizi kuamini!

William.

Uelewa wangu ni kuwa tuna taasisi inayoitwa NATIONAL AUDIT OFFICE (NAO) ambayo inaongozwa na Controller and Auditor General(CAG) i stand to be corrected.
 
- Nimesema mara nyingi sana kwamba siasa ni kama biashara ya utumbo, huwezi kuifanya huku unaogopa harufu, I mean unajua how long nimekuwepo hapa JF, huwa yanakuja na kupita ila ukweli unasimama mpaka mwisho,

- Kwamba Dr. Jakaya M. Kikwete, huenda ni the best kuliko wote waliopita, I have said that before na ninasema tena now!, unaposema kiongozi mmoja hafai unamlinganisha na wanaofaa, ndio maana ninasema anawazidi wote waliopita! Na mfano mdogo ni hii CAG, mnasema imekuwepo toka Awamu ya kwanza, mna maana
toka enzi zile tunanunua Mandege mabovu ya ATC, Gapex, BOT, mnasema CAG walikuwepo?

William.
I smell hipocracy coming from you..the issue here is the actions that president will take after his close associate have been shown in CAG report to miss use their offices and shame the government that he leads. At this point only mediocres will praise the president.
 
"Nimefurahishwa na mjadala wa uwazi ulioendelea Bungeni na kwenye kamati ya wabunge wa CCM; nafurahi kwamba azma yangu ya kuzifanya taarifa za mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali ziwe zinafanyiwa kazi imeanza kutimia" Mhe. Jakaya M. Kikwete

Nimefedheheshwa sana na quote yako lakini pia naweza kukuelewa kwamba una palilia kashamba kako .
 
Back
Top Bottom