Question

Saleh Alli

Member
Mar 12, 2012
8
0
Hv madada zangu ile hali ya kuwa na tumbo la period likiambatana na kuuma kwa kiuno inatokana na nini?
 
Wanawake wanao umwa sana siku ya siku zao wanakuwa watamu sana, afu we hata akikupa chance ya ku game naye, we usijali tumia condom umzamishie kitu ndani, uone anavyo zidi kukupenda :violin:
 
hi hi hi hi......mwenzenu anataka sababu.....nyie mnazidi kumchanganyia mizizi....
 
Hii hutokana na contraction ya uterus ili kutoa zile products za menses pamoja na ovum, sasa wengine contraction huwa strong kiasi kwamba inasababisha discomfort, kwa kawaida huwepo kwa kila mwanamke na huwa maumivu ya kawaida tu ambayo hayaathiri utendaji wa kazi. Pale yanapokuwa strong kiasi cha kuathiri utendaji wa kazi huitaji tiba na tiba yake ni diclofenac tabs 50mg mara tatu kutwa kwa siku tano. Unatakiwa kuanza kunywa siku mbili kabla ya hedhi na unapitiliza siku mbili baada ya kumaliza hedhi.
 
huyu mtu wa kunywa dawa zote hizi atabaki kweli?

Siku 5 + siku2 kabla + siku 2 after ni siku 9
afu anywe mara 3

inakuwa 9*5=45

anatakiwa kunywa mg 50

kwa hiyo 50*45 = 2250mg

baada ya miaka 10, anabaki skrepa.

Hii hutokana na contraction ya uterus ili kutoa zile products za menses pamoja na ovum, sasa wengine contraction huwa strong kiasi kwamba inasababisha discomfort, kwa kawaida huwepo kwa kila mwanamke na huwa maumivu ya kawaida tu ambayo hayaathiri utendaji wa kazi. Pale yanapokuwa strong kiasi cha kuathiri utendaji wa kazi huitaji tiba na tiba yake ni diclofenac tabs 50mg mara tatu kutwa kwa siku tano. Unatakiwa kuanza kunywa siku mbili kabla ya hedhi na unapitiliza siku mbili baada ya kumaliza hedhi.
 
Rudi shule, nani aliwaambia mruke madirishani wakati wenzenu wanapewa darasa.
 
Wanawake wanao umwa sana siku ya siku zao wanakuwa watamu sana, afu we hata akikupa chance ya ku game naye, we usijali tumia condom umzamishie kitu ndani, uone anavyo zidi kukupenda :violin:

Usisahau na mchumvini utasuuzika na roho yako!
 
hi hi hi hi......mwenzenu anataka sababu.....nyie mnazidi kumchanganyia mizizi....
Preta nimempa sababu ya kumsaidia mchumba wake asione kiuno kinauma, aendelee kukizungusha tu hata kama yuko kwenye siku zake, wanasema dawa ya moto ni moto...kama yuko kweney siku zake na anaumwa kiuno amuingilie tu kwenye siku zake, afu mwambie akizungushe kiuno it's just exercise ya kuregeza kiuno, kisiwe kimebana mzunguko wa damu :cool2:
 
Usisahau na mchumvini utasuuzika na roho yako!
Tena we wacha tu wanavyo zidi nimependa, si unajau tena mwanamke akiwa kwenye siku zake...mambo yanakuwa super kabisa, anakupa kila kitu unapo mtembelea kwenye ile siku yake...usimkoesee tu step, ukimpatia wapi pakumgusa kwenye siku zake...utaona zawadi unazo pewa :violin:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom