Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,141
I have a small question regarding dos commands. Nimekuwa natumia command kama tasklist ambayo ina list all processes zinarun kwenye computer. pia kuna command kama taskkill ambayo inaua processes. sasa swali langu ni kwamba hizi command nikilogin kama user wa kawaida either administrator or user with limited privileges i can still execute them Pia nikaandika program katika java ambayo inaexecute hizo command. nikiwa kama normal user au administrator the program works fine. Lakini my program nimeiweka i run kama service kwa hiyo user ni SYSTEM. Sasa ikiwa kama service inaonekana kwamba my program haiwezi ikatoa hizo instruction za dos. kila ikitaka kuexecute dos command inarudisha a null return kwenye process. Sasa nashindwa kuelewa kwamba ukiwa kama SYSTEM hauwezi kuexecute dos command au? Msaada tafadhali