Question for Males

Unauliza kwa kujibu wa vipimo vya nani?...coz each has got his/her calibrations!
 
Hahah JF mnashindwa kunijibu swali hili au inaonesha limekaa kimzaha eti?

Hata awe inocent vip, kama kichwani ni nazi wala hakuna bora hapo, na akiwa inteligent bila chembe ya inocence hata kidogo napo ni bure..
Hebu wewe chagua kati ya haya, tukukate kipi, kichwa au tumbo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom