Querying Microsoft SQL Server 2005 with Transact-SQL

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
351
Hello JF.

Kwa sasa niko kwenye mafunzo binafsi ya Querying Microsoft SQL Server 2005 with Transact-SQL.
Kijitabu cha microsoft ambacho ninacho ni cha 2000 Server.Kama kuna mtu amesha fanya mazoezi
au anatumia sana hii njia na ana material anaweza share nami,nasi itakuwa jambo jema hii ni advence
stage ya kuunganisha table na mambo mbali mbali katika database kuweza kufanya fuction kwa urahis.

Shukrani
Buswelu
 
Nadhani mambo kama ya kuunganisha table ukijifunza in detal kuhusu QUERY na VIEWS yanawezekana na kwenye SQL server book online kuna hizo nondo.
 
Nadhani mambo kama ya kuunganisha table ukijifunza in detal kuhusu QUERY na VIEWS yanawezekana na kwenye SQL server book online kuna hizo nondo.

Yeah Nimecheck ila naona kama wamebana kushusha kitabu pdf...chote..yaani vinakuwa online tu...tena sio detail sana..wanatoka basic
concept.Tukipata vitabu ambapo tunaweza download...itakuwa nzuri sana...kwani kwa sasa wenzetu washafika mpaka SQL Server 2008.
So kuendelea kung'ang'ania na SQL 2000.Vitu vinakuwa vimerahisishwa kwenye Server zingine..
 
Buswelu sijui kaa niekupata hiyo sqlserver book online unaweza kudowload na kuistall kaa prigra nyingine ina nondo zote.. ukisha download na kuinstall kuitumia sio lazima uwe na internet

Cheki hizi link Using SQL Server Books Online

na link hasa ya kudownload kitabu cha 2008 ni Download details: Microsoft SQL Server 2008 Books Online (October 2009)

Ni kweli hakiko katika format ya .Pdf lakini kimasomeka kiko katika format ya .chm. Just try to install it
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom