Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,962
- 2,138
Naima Naomba Na Mie Unitumia Picha Yako Nione Unavyoringa Na Kujidai
Unaonaje Dear ??
Kaka Maro, taratibu!!! Kani picha yaweza kumuonyesha mtu anavyoringa na kujidai?? Labda afanye pose maalumu ili kutosheleza hilo!!! Taratibu kaka usijikwae!!!