qualified tax Consultant needed urgently

Isimilo

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
217
6
Single deal tax consultant needed to review our financial statements and advise the amount of tax payable.
short description of your CV imporntant
 
Single deal tax consultant needed to review our financial statements and advise the amount of tax payable.
short description of your CV imporntant
Mkuu tangazo lako halijajitosheleza.mnahitaji mtu mwenye qualf gani? na pia nikitaka kuapply nitujme wapi CV yangu?
 
Yoyo,

Kimeo hicho, yeye mwenyewe hajui ipelekwe wapi.

Bongo kuna watu wa aina nyingi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
idea hapa ilikuwa ni mtu awe na uelewa wa consolidated accounting for multinational based company( grouping and allocation of OH. muelewa wa tax calcucation for company based in different tax jurisdictions.baadhi ya project ziko exempted na baaadh ziko exempted kwenye maeneo fulani fulani. kutokana na mkanganyiko huu wa kimahesabu in millions of USD hatutaki mgogoro na serikali.
qualified maana hapa awe registered with international professional board kwenye fani hii.halafu wabongo mnaiba hadi paper za bodi sasa hivi ndo maana hata mnaogopa kuingia kwani watu wanatafuta CPA kwa ajili ya CV huku kindani ndani kiwango ni kidogo au hau waalimu wenu wamefanya kama vile tution za shule za msingi kwa sasa na kwa kuwa wao ndo watungaji mnafia humohumo.
ni kwamba tuko vizuri ila tulitaka kupata mchango toka kwa mtu mwingine na financial statement zimeshakuwa audited without tax calculations.
anyway mpaka sasa kuna jamaa amepatikana kutoka kwenye kampuni kubwa tu lakini na doubt kiwango chake kwani kama akichemka nitarudisha hapa JF kwani humu sitakosa mtu.wewe hata kama uko nje utatumiwa tu. si huu ni utandawazi bwana.
 
mmh,im afraid of this deal.Still bado cjaona hata address ya hyo organization zaidi ya kuona bla,bla nyingi tu!!Nadhani huyu anahtaji tu CV za watu kwa ajili ya matumizi anayoyajua yeye(mayb 4 copying and pasting!!!).Maana hata job description&qualification bado ni ktendawili(its not clear!).Naona SOON baada ya kuulizwa maswali mawili matatu amekuja na hoja kuwa wameshapata huyo expert(je alipigiwa simu wakati akijitayarisha kupost?).Nway,n vzuri tukawa makini na watu wa namna hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom