Qpst yangu haiitambui modem ya vodafone zte modem 3570-z

QPST ndo nzuri na free. Tumia Windows XP kufanya hiyo kitu utafanikiwa. Mara nyingi Kuna versions za windows 7 hazikubali kufanya hiyo kitu. For best results use XP
 
qpst ndio nini? mbona mimi natumia modem hiyo hiyo kwa line zote bila ya hiyo kitu? niliwahi kutumia kwenye xp, na sasa nipo kwenye win 7. everything is working fine.
 
qpst ndio nini? mbona mimi natumia modem hiyo hiyo kwa line zote bila ya hiyo kitu? niliwahi kutumia kwenye xp, na sasa nipo kwenye win 7. everything is working fine.

Huyu bwana anataka kuflash na kubadili dash board
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom