Qn: Can Viruses infect data burned into CD?

ropam

Senior Member
Aug 11, 2010
173
35
Salaam wadau
Kama swali linavyojiuliza...eti information ambazo ume-burn kwenye CD zinaweza kuwa-attacked na computer viruses, naomba elimu kwenye hili!
 
Hapana na ndio. Recordabe CD haiwezi kushambuliwa na virus.
Hata ivyo kama data ulizoandika kwenye CD tayari zilikuwa na virus, basi CD hiyo inaweza kuwa hifadhi nzuri ya kuendelea kusambaza virus!
 
Virus can infects CD or DVD only when we are going to write some information into that CD or DVD. Virus can not infect CD or DVD when we are going to read the information in that.
That being said, depending on the virus, if the virus was also burned in the CD, it is possible that it may be dormant in the CD until, it is executed onto computer and then it may start running.

:ranger:
 
Hapana na ndio. Recordable CD haiwezi kushambuliwa na virus.
Hata ivyo kama data ulizoandika kwenye CD tayari zilikuwa na virus, basi CD hiyo inaweza kuwa hifadhi nzuri ya kuendelea kusambaza virus!
bonge la jibu mkubwa, umejibu ipasavyo +like :first:
 
Virus can infects CD or DVD only when we are going to write some information into that CD or DVD. Virus can not infect CD or DVD when we are going to read the information in that.
That being said, depending on the virus, if the virus was also burned in the CD, it is possible that it may be dormant in the CD until, it is executed onto computer and then it may start running.

:ranger:
Thanks Ishengoma...detailed explns!
 
Back
Top Bottom