Ni yale yale niliyosema awali!.Usomi wenu ni kazi bure,hauwafai wenyewe wala mwengine yeyote.
Serikali yenye vitega uchumi tele mpaka vyengine vinafanyiwa ufisadi ina haja gani ya kutumia vitu vya kanisa?.Ikifanya hivyo ni kwa kujuwa kuwa ni vyake.Si yenyewe ndiyo iliyotoa pesa kuvinunua na kuvianzisha!.
Afadhali waislamu tuna Ghadhafi,Saudia na wengineo.Hata ikiwa ni makombo waliyokula pamoja na Amerika,US na waroho wengine tukipewa tunapata pa kuhemea.Ha ! nyinyi wakristo nani atawaletea na Vatican hakuoti hata muhogo.
Ukiona vitu vya kanisa ni vingi basi ujuwe pamepita ujambazi mwingi kuvipata kama huo wa kunyan'ganya bila haya kutoka hazina za taifa.Hapa kwetu na kwa wenzetu.
Tende na halua na kutuharibia vijana wetu ndio msaada? Inawezekana lakini kwako! Vijana wanalegezwa wewe waona msaada! Ok kila mtu na akili yake.