Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,420
- 2,271
Tupo pamoja hapa Kamanda!Sawa Homeboy! Ila mimi ni Emirate, KLM, BA ama Swissair maana hizo zinatoa pombe mingi sana mwisho wa safari nakuwa very satisfied. Egytair naambiwa wao ni juicy tu!
Tupo pamoja hapa Kamanda!Sawa Homeboy! Ila mimi ni Emirate, KLM, BA ama Swissair maana hizo zinatoa pombe mingi sana mwisho wa safari nakuwa very satisfied. Egytair naambiwa wao ni juicy tu!
Qatar of course yes (though you can spend hours at DOHA waiting for connection) Big up Fly540, PW wanaringa sana na bei zao za ajabu wakati hawalipi madeni kwa suppliers wao (see Daily News Page 20, 31.01.2011 bottom corner left), keep it up Fly 540 we will support you guys wengi wetu hatujafika Rock City - Fly540 kwa namna hii nitaenda....one week-end hawa PW watakoma kama ilivyokoma kampuni fulani ya simu