Abdulhalim, sasa hivi QR wanakupa 2 pcs za 23 kgs total 46 kgs kama KLM. Kwa uhakiki gonga HAPA. Ndege inayoongoza kwa nauli za chini kupita kawaida kwa sasa ni Turkish Airline japo wao mzigo ni kilo 30 na muda wa kuunganisha safari wakati mwingine unakuwa siku nzima ila wanakupeleka hotelini kwa gharama zao.
Kuhusu kukupeleka hotelini kwa gharama zao si kweli,ni kwa baadhi ya nchi maana kuna vijana walikuwa wanatoka Tanzania wanaenda nchi moja ya Ulaya,waliambiwa hawawezi kupelekwa hotelini kutokana na pasi zao,walibeba wote wenye pasi zinazotambulika kama wanachama wa EU waliobaki walilala uwanjani,na haijatokea siku nyingi ni Dec 2010.