Qatar airline tickets for june

Anne Maria

JF-Expert Member
Mar 22, 2012
399
98
Naomba mnisaidie NAHITAJI TWO RETURN AIRLINE TICKETS za Qatar Airways za kwenda USA Columbus Ohio,, kwa tarehe za mwanzoni ya mwezi wa sita
Please naomba zenye reasonable prices.. please contact me.. thanks
 
acha kutuzingua bwana wewe!uko nchi gani?dunia kubwa hii!ingia kwenye website yao,fanya booking online!si lazima upite kwa agent!safar njema Anna!ukifika msalimie mzee wa @ Newyork
 
acha kutuzingua bwana wewe!uko nchi gani?dunia kubwa hii!ingia kwenye website yao,fanya booking online!si lazima upite kwa agent!safar njema Anna!ukifika msalimie mzee wa @ Newyork

sikua na lengo la kuzingua mtu,, ni hivi sijawahi kufanya booking online,, naendaga kwa ofisi zao dar ila kwa sasa sipo dar na ndo maana niliomba wa kuweza kunisaidia ili niweze kumlipa na kumuagiza mtu akanichukulie hizo tickets,,, mmmhh mzee wa @NY ndo nani tena??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom