PWEZA AMTABIRIA B.IGANGULA & DAVID MOSHA KUONGOZA YANGA Africans

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,900
21,990
Pweza aitwae samsuno huko zanzibar ametabiri matokeo ya uchaguzi wa yanga unaotarajia kufanyika hivi karibuni
akiwa na furaha pweza huyo akusita kumchagua b.igangula kuongoza yanga kama mwenyekiti ambapo kwenye picha za makamu alienda na kulala kwenye picha ya dk mosha
pongezi zaidi kama wah mtashinda hili natumaini nasi tutakuwa tumepata paulo mbadala wa germany
Kwaniaba ya waana yanga nawatakia uchaguzi mwema
 
aaaa-- nimeshtuka, nilifikiri yule staa Pweza Paul aliyetakiwa atabiri ni "LINI TAIFA STARS ITACHUKUA KOMBE LA DUNIA" pale pale AKAZIRAI
 
Mmh,kazi ipo. Huyo pweza alikuwa wapi siku zote asijulikane jamani? Kajitokeza pweza paul imekuwa tabu,mambo ya bongo bana!!!
 
Back
Top Bottom