Pwani Raha Jamani lol!!

02.JPG

Baadhi ya wafanyakazi wa wizira ya maji na umwagiliaji wakicheza mduara katika Sherehe ya Wizira ya Maji na Umwagiliaji​

Assume ni mkeo huyo alikuwa kwenye sherehe ya ofisini, ungefanyaje?
 
hapo ni dansi, so hakuna mbaya, sa mlitaka wacheze kama kwaya??? Zungusha nyonga kama ipo mama, teh teh teh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom