Pwani, moro, dom, singida, tabora na shinyanga mko wapi?

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
naomba leo wana jf woote mliopo maeneo hayo, mjipange mabarabarani na muonapo tu gari la green star mlipungie mikono kwa nguvu sana.... napita mitaa hiyo leo... Kongosho nikipita mwadui nikuletee nini? Erickb52 nikipita kwenu je? sweetlady... kuna chochote unahitaji nikuletee? BAGAH ulivyofika shinyanga nani alikupokea? uncle Bishanga ndizi za gairo zitakufaa? charminglady usimame barabarani ukiwa na sato wangu, Madame B nikutafutie replacement ya kipisi? platozoom ile four figure uliyoniomba ipo
 
Last edited by a moderator:
Wapita Dodoma saa ngapi..naweza kupatikana, Kwanza hiyo four figure ni kile kitabu cha hesabu? kama ni hicho kaa nacho sitaki kusikia neno namba. Ila kama ni four figure mtu akaribie
 
Hahaaaaa, mamito mbona me sipo hiyo mikoa ulotaja?????????
 
Niletee nazi, ndio zamani tulikuwa tunaletewa zawadi hii na watu wanaoishi Dar
 
Hahahahaahaah Smiling Saint we pita tu ujibebee trakoma
ila sitaki lawamakwa hilo
Salamu kwa waungao mikono kama mbio za mwenge
 
Last edited by a moderator:
naomba leo wana jf woote mliopo maeneo hayo, mjipange mabarabarani na muonapo tu gari la green star mlipungie mikono kwa nguvu sana.... napita mitaa hiyo leo... Kongosho nikipita mwadui nikuletee nini? Erickb52 nikipita kwenu je? sweetlady... kuna chochote unahitaji nikuletee? BAGAH ulivyofika shinyanga nani alikupokea? uncle Bishanga ndizi za gairo zitakufaa? charminglady usimame barabarani ukiwa na sato wangu, Madame B nikutafutie replacement ya kipisi? platozoom ile four figure uliyoniomba ipo
Smiling Saint mie machenza tu yatanitosha.....:tonguez:
 
Last edited by a moderator:
Wapita Dodoma saa ngapi..naweza kupatikana, Kwanza hiyo four figure ni kile kitabu cha hesabu? kama ni hicho kaa nacho sitaki kusikia neno namba. Ila kama ni four figure mtu akaribie

pole mkuu nshapita... sasa ile tebo yako ya hesabu za "mala" vipi?
 
Dah.....hata hivyo mie nipo kondoa huku urangini, so nisingeweza kukuona! Haya salamu zao ugenini....
 
singida mafuta ya alizeti kibao na hayana lehemu ila sitakaa barabarani Ng'ooooo siujanitaja jina wewe na zawadi sikupi.
 
Yuko Kwapakacha, hata hivyo nadhani kesho ataenda Masange.
Plato mambo? Mi niko Bicha hapa tangu jana, unapafahamu ?

Napafahamu..ni njia ya kuelekea Kiteto...Unafanya nini huko kwa Warangi au wewe Jooore/mwaare
 
Back
Top Bottom