pwaaaaaaaaaah

Philipo Kidwanga

JF-Expert Member
Jul 12, 2012
2,042
599
jamaa mmoja asiye na mikono alianguka kisimani baada ya kukaa kisimani kwa muda bahati nzuri kuna mwanaume akapita pale kisimani, alipohisi uwepo wa mtu akaomba msaada kwa sauti na jamaa akamsikia.akafanya juu chini akatafuta kamba ili amtoe sasa kwa vile jamaa hana mikono ikabidi jamaa aikamate kamba na meno na moja kwa moja jamaa akawa anampandisha juu.ikiwa imebakia kidogo tu kumfikisha mwisho na kumtoa imani ikamjia mtoa msaada kwa imani akamwambia aisee pole sana mungu atakusaidia.sasa jamaa kwa imani iliyooneshwa na mwokozi wake akajibu asa........hakumalizia kikasikika kishindo kwenye maji paaaaaaaah.
 
Back
Top Bottom