kitalolo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2006
- 1,827
- 707
Hayo ndiyo matokeo ya kuvuta bangi zinazolimwa mjini, watoto wanakosa akili ya utambuzi kujua kinachowezekana na kisichowezekana!!!!
mama unamaanisha bangi zisizolimwa mjini ruska?
Hayo ndiyo matokeo ya kuvuta bangi zinazolimwa mjini, watoto wanakosa akili ya utambuzi kujua kinachowezekana na kisichowezekana!!!!
Mkuu siamini kama umeipenda avatar ya mtu aliyemega ziwa letu,au wewe sio m-tz nn? Kwa kweli mm nimeipenda avatar yako unasemaje bana.avatar yako,jina lako na maneno yako vinaendana