Putin ajitangaza mshindi wa Urais Russia

ha ha ah ..unatukumbusha mbali bana
kwanza umewaona hawa waandamanaji?
source bbc
View attachment 48636

Mmmh! Mikakati mingine ya kuandamana bwana, kazi kweli kweli! hapo askari anapaswa kuwa mwangalifu sana anaposhika. Akikoseam mkono ukashika tu kifua, hiyo ni sexual harassment. Hii inanikumbusha wanawake wa Kenya walipoandamana huko nyuma wakiongozwa na marehemu Dr. Wangari jinsi walivyotoa nguo zote na kubaki kama walivyozaliwa. Polisi ilibidi wakae mbali.
 
Ukiona foreigners hawampendi mtu ambaye ninyi mnamchagua ujue kuna kitu apo.
USA hawampendi Putin ila ndo ivyo keshapeta!
 
jamaa ameshashinda...ila uchakachuaji wa kura ni kama bongo vile...!
Kweli Mkuu, uchakachuaji kama wa petu vile. Wamewachukua watu wa mashambani na mikoani kibao na kupiga kura mara watakazo.
Kwa nini watu hawajiamini kiasi hiki, kwani tayari alikuwa na umarufu wa kutosha bila kujitia aibu ya uchakachuaji.
 
Ukiona foreigners hawampendi mtu ambaye ninyi mnamchagua ujue kuna kitu apo.
USA hawampendi Putin ila ndo ivyo keshapeta!

Teh teh teh!
Kaaazi kweli kweli. Kwa hiyo Wamarekani wameze wembe sio?
 
Wivu ni kitu mbaya sana, jamaa kawawekea hadi web kamera (200, 000) kila tukio lilikuwa linaonekana live katika mtandao sehemu yeyote ile duniani (mi nimeshuhudia uchaguzi karibu wote kupitia kwenye ka-laptop) katika kila kituo lakini bado tu ubsihi. Mbona hata chaguzi za huko USA fraud huwa ipo (bado tunakumbuka ishu ya Gorge Bush na Algore kule Florida???)

Hongera jembe Vladmir mzee wa ku-Put in...:A S-coffee:
 
Kwa wanosema Putin kachakachua:

Uchakachuaji unasemwa sana na vyombo vya nchi za magharibi ikiwemo Marekani. Mpaka leo asubuhi saa za Afrika mashariki , vilikuwa vimeripoti matukio 3000 ya uchakachuaji wa kura. Cha ajabu vyombo hivi hakuna mahali vinatoa dokezo la uchakachuaji wa namna hiyo alioufanya George Bush huko Florida wakati anaingia madaraki.
 
Back
Top Bottom