Tatizo hili ingawa hutumika kama njia ya kujizuia na tamaa ya ngono, kimsingi huwezi kufanya kitendo hiki bila kuzikaribisha tamaa hizi za ngono. Kwahiyo athari za tatizo hili tunaweza kuziweka katika makundi mawili, kwani athari za kisaikolojia na pili ni athari za kimwili. Athari zakisaikolojia (Psychological effects) zinaanzia pale unapovuta hisia kazi za ngono. Bila kuwa na hisia kali huwezi kupata uamsho au ‘sexual avousal.' Hisia kali ni za kulaizmisha kwahiyo zitakudumaza ambapo utashindwa msisimko wa kawaida hadi ufikiri sana.

Hali hii ikiendelea hata ukiwa na mwanamke utashindwa kusisimka haraka au utashindwa kubisha kufanya tendo kutokana na mgongano katika akili yako ambapo utajitahidi kuvuta hisia kali wakati mwanamke yupo hapo hapo karibu yako. Hapa ndipo utasikia mtu analalamika hapati hamu ya tendo la ndoa, akiwa na mwanamke uume huchelewa kusimama na hata ukisimama wakati wa tendo anawahi sana kumaliza na kushindwa kuendelea na tendo la pili. Vilevile mtu wa aina hii huumwa na kichwa, kiuno na mgongo ingawa siyo mara kwa mara kwa wanawake wanaotumia viungo bandia vya uume nao huwa hawana hamu wala msisimko wowote wakiwa na wanaume.

Athari nyingine ni za kimwili (mechanical effects). Athari za kimwili ni maumivu ya uume kutokana na kusugua uume mara kwa mara, kulegea kwa misuli ya uume kutoana na kutumia nguvu kwa muda mrefu ili uweze kujitosheleza. Unaweza kupata michubuko katika uume au ndani ya njia ya mkojo. Unaweza kupata nagonjwa ya mishipa ya damu ya uume (microvascular effects) ambapo kutokana na kujisuguasugua mishipa inaweza kuziba hasa ile ya kurudisha damu nakufanya uume usimame bila kikomo kwa muda mrefu au usisimame kabisa.

Matatizo haya yote kwa pamoja husababisha upungufu mkubwa wa nguvu za kiume na kupoteza uwezo wa kufanya tendo la ndoa. Kwa ambao tayari wamekutwa na matatizo haya wataelewa vizuri. Hali hii ya kujichua hukufanya utumie hisia nyingi au nguvu nyingi na nishati nyingi kiasi cha nguvu zote zitumika kufikiri na kufanya kitendo.uelewe kwamba, ubongo unatumia asilimia 60 ya nishati yote mwilini na pia unapokojoa au kufikia mshindo mmoja, nishati au nguvu unaozotumia ni sawa sawa na mtu aliiyetembea kwa mguu umbali wa kilometa 15.

Kwa hiyo basi, kama wewe ni mwanafunzi na unaendekeza punyeto, ubongo wako utakuwa unachoka kila wakati kiasi kwamba utakuwa msahaurifu darasani, unakuwa unapoteza poteza kumbukumbu, mwili utakuwa mchovu na kila wakati utakuwa unasinzia daima hasa afya yako haitakuwa nzuri utakuwa mchovu daima.

USHAURI
Zipo njia nyingi za kuepuka tamaa za ngono siyo lazima ujichue au upige punyeto au ufanye masturbation (mastabesheni) . Kitendo cha kujichua kinaashiria unaendekeza tamaa za ngono. Epuka vishawishi vya ngono kwa kutokusikiliza au kangalia vitendo hivyo kwa nia yoyote. Njia mojawapo ya kuepuka ngono au tamaa ya kujichua ni kushiriki mazoezi ya viungo na michezo ya kutumia akili kama draft, kuangalia michezo na kufanya miadala ya kielimu, vilevile kushiriki kikamilifu katika michezo.

NAAMINI NIMEELEWEKA! !! BADIRIKA LEO KAMA WEWE NAYE NI MZEE WA SABUNI!!
 
Zipo njia nyingi za kuepuka tamaa za ngono siyo lazima ujichue au upige punyeto au ufanye masturbation (mastabesheni) . Kitendo cha kujichua kinaashiria unaendekeza tamaa za ngono. Epuka vishawishi vya ngono kwa kutokusikiliza au kangalia vitendo hivyo kwa nia yoyote. Njia mojawapo ya kuepuka ngono au tamaa ya kujichua ni kushiriki mazoezi ya viungo na michezo ya kutumia akili kama draft, kuangalia michezo na kufanya miadala ya kielimu, vilevile kushiriki kikamilifu katika michezo.

Hukuna ukweli hapo ...huwa natoka GYM after 2 hours of pumping the guns and combocardio wakati wa kuoga najichua nakuwa mwepesi zaidi....kwa kifupi alichopost GUDBOY ni nonsensical
 
Afariki Akijichua Wakati Akiangalia Sinema ya Ngono
3123362.jpg

Friday, September 18, 2009 3:46 AM
Jamaa mmoja wa nchini Uturuki amefariki kwenye ukumbi wa sinema za ngono kutokana na shambulio la moyo wakati akijipigisha punyeto. Polisi wa Uturuki waliitwa kwenye ukumbi wa sinema unaoitwa Fitas Cinemas katika mji wa Sakarya ambao siku zote huonyesha sinema za ngono baada ya jamaa mmoja kufariki akijichua mwenyewe wakati akiangalia sinema hizo.

Tukio hilo lilitokea jana katika kitongoji cha Adapazari katika mji wa Sakarya uliopo kaskazini magharibi mwa Uturuki na polisi walimtaja jamaa aliyefariki akiangalia ngono kuwa ni Hikmet Y. ambaye ana umri wa miaka 51.

Taarifa zilisema kuwa wakati taa zilipowashwa kwenye ukumbi huo wa sinema baada ya sinema mbili za ngono kuisha, watu waliokaa siti za jirani na mwanaume huyo walishtushwa kumuona akiwa ametoa nyeti zake nje huku akiwa haonyeshi dalili yoyote ya uhai.

Wamiliki wa ukumbi huo waliamua kuita polisi na ambulansi na walipofika walisema kuwa Hikmet alikuwa ameishafariki.

Taarifa ya uchunguzi wa maiti yake iliyotolewa baadae ilisema kuwa Hikmet alifariki kutokana na shambulio la moyo wakati akiangalia sinema hizo.
 
Nashukuru sana kwa elimu hii ya mambo ya mapenzi binafsi;ila sijui kwa mtu ambaye amekithiri(addicted) katika huo mchezo kama anaweza kukubaliana na wewe!!
 
me too am not convinced..! kila porn star humaliza sex kwa kujichua...! MASTURBATION IS HEALTHY...! PERIOD!
kwa hiyo unamaanisha kwa kuwa yule kafanya jambo fulani ndio na wewe unafanya? Haya mambo ya kweli na kama unabisha endelea kufanya habari yake utaipata baadae, kwa madhara yake unafikiri yanaonekana leo leo?
 
Hukuna ukweli hapo ...huwa natoka GYM after 2 hours of pumping the guns and combocardio wakati wa kuoga najichua nakuwa mwepesi zaidi....kwa kifupi alichopost GUDBOY ni nonsensical
kwa kuwa ni kitu ambacho unakipenda sana ndio maana unaona ni nonesense, lakini ukweli ndio. itafika kipindi utashindwa hata kumduu demu wako, angalia watu watakupigia mwana
 
Nashukuru sana kwa elimu hii ya mambo ya mapenzi binafsi;ila sijui kwa mtu ambaye amekithiri(addicted) katika huo mchezo kama anaweza kukubaliana na wewe!!
kama unavyoona hao wanaobisha ndio wapo addicted, sasa inakua ngumu sana kwao kukubaliana na hili darasa mkuu
 
Toa evidence za madhara na si mipasho!
Hivi wewe unataka evidence gani zaidi wakati kila kitu kipo wazi,watu wa kwenye ndoa wanalia hawaridhishani na ndoa zinavunjika kila siku.
ok, na hao akina DK MANYUKI wamejaa kona zote za DSM eti wana dawa za kuongeza nguvu za kiume,mbona unakuwa tomaso? subiri uwe mwenyewe 'evidence' kwa kuendeleza huo mchezo mchafu.
 
Kujichua kuna punguza nguvu za kiume? Kitu gani kilichowazi hapo? Kutoridhishwa kimapenzi na ndoa kuvunjika sababu si kujichua ...sijakuelewa labda unielezee pole pole maana sisi wengine ni slow learners!
 
pole sana masa,na nahisi hujaoa bado.
kwa kifupi ukizoea kujichua hata siku moja hutakuwa na hamu na mkeo.Hata ukifanya ,utapata shida sana kwa kuwa upo addicted na huyo mpenzi punyeto.
 
pole sana masa,na nahisi hujaoa bado.
kwa kifupi ukizoea kujichua hata siku moja hutakuwa na hamu na mkeo.Hata ukifanya ,utapata shida sana kwa kuwa upo addicted na huyo mpenzi punyeto.

Mwaka wa 19 huu najichua na nina long term girl friend, kwa taarifa yako huwa tunajichua pamoja kabla ya kupiga libeneke...kwa maana hiyo madai yako are null and void.
 
Mwaka wa 19 huu najichua na nina long term girl friend, kwa taarifa yako huwa tunajichua pamoja kabla ya kupiga libeneke...kwa maana hiyo madai yako are null and void.

Hee, kwi kwi kwi ,makubwa haya jamani.ngoja nikuache bwana,kupanga ni kuchagua,mtoto akililia wembe mwachie umkate na asiyesikia la mkuu......kwaheri.
 
no effect, huu uwongo tu, kama madhara uliyapata wewe. I can prove it. Infact could be the safiest sex
 
Tuseme tu ukweli wanaume wengi hawajui mapenzi, wengi wetu tunadhani penetration ndo kitu mwanamke anachotakiwa kufanyiwa kumbe hali si hivyo, mwanamke hisia zake ziko mbali anatakiwa aandaliwe ipasavyo, pili wanaume wengi maneno mengi tuu, mikwara kibao utasikia mimi nikimapata yule nammaliza, au ikifika siku ya mpambano utaona mwanaume anafakamia mijikonyagi au wine maskini eti akaue ilhali hajui kwamba harufu tu ya pombe ile yaweza kumboa yule mwenzi wake na ku turn off, sasa akifika kule no foreplay anataka a penetrate na kukandamiza kwa nguvu eti ndo mwanamke amkome, haipiti dk 2 tayari jamaa kishafika climax, huku mwanamke anafinya finya miguu tuu akiashiria bado kabsaa hajaifikishwa, hapo jamaa kwishne babu hainuki tena ni kukoroma tuu na kumwacha kiumbe wa watu na ashki zake pale pale. AKitoka pale anaenda simulia kijiweni eti dah nimepiga demu yule mpaka kalia hataki hata kuniona kumbe demu hamtaki tena maana kamboa tuu dada wa watu. Demu ku masterbate ni kitu cha kawaida jamani, tena mwanamke ile clitoris yake anaichezea ile mpaka anakojoa, mwanamme ikune ile na penis yako taratiiibuuu utaona mwanamke anavyolalamika huku mkono wako mmoja unashika shika chuchu yake kama hamjawahi ona basi demu atakojoa mkojo(ejaculate) unaruka kama bomba la maji, hapa napo tatizo linakuja sio wote twaweza vumilia kuona injini ya mwanamke kwa muda mrefu, wengine akiona tuu baaaasi atakojoa hapo hapo, Mapenzii yanahitaji STAMINA ATI hahahahahahahahaah
Khah Mkubwa kweli shule haimaliziki hapa sina mbavu
 
Similar Discussions

24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom