mbona bado wapo juu compare to Airtel?!
dah', bora vodacom 30,000/= --> Unlimited for 30 days'......!
dah', bora vodacom 30,000/= --> Unlimited for 30 days'......!
Kivipi mimi sijakuelewa....Hapa airtel bado watakuwa juu tena sana. Just imagine 2500/- unapata 400MB kwa mwezi.
Bado gharama za mawasiliano Tanzania ipo juu sana.
Voda waizi tu kwa hiyo speed ya net yao siitaki hata wakisema 5000 -unlimited labda wabadilike yaaani siku hivi wana kera kweli...dah', bora vodacom 30,000/= --> Unlimited for 30 days'......!
mkuu hii mbona imetoka zamani, karibu mwezi sasa.
anda:anda:anda:anda:
The new price of modems is Tsh 25000
Weekly - 500MB @ Tsh 8000
Monthly - 500MB @ Tsh 10,000
Monthly - 2GB @ Tsh 40,000
Sasa unasema ili iweje? Ulituletea sie hapa tujue punguzo? Mtu kaamua kutaarifu na kawaida kama kunawanaojua basi nyamaza kama hatujkui sie faida kwetu
Acha kukatisha watu moyo wa kushare news kama hizi
wote wenye mpango wa kukununua modem ni bora wakanunua za Airtel....kwani ukinunua modem unapata bundle ya 8gb..hivyo ukiangalia moderm ya Airtel ni bure....Na neti yao haisumbui kama Voda
dah', bora vodacom 30,000/= --> Unlimited for 30 days'......!
Kwa sasa hamna anayeweza kushindana na AIRTEL, tuma neno INTERNET kwenda 15444 itakuuliza kuthibitisha, tuma neno YES kwenda 15444 unakua umepata MB 400 ambazo unatakiwa kuzitumia kwa mwezi mmoja, wiki sasa natwanga tu mzigo, ila sijui kama ikiisha kabla ya mwezi kama naruhusiwa kujiunga tena au laa