Punguzo 30% SmartPhone za Itel

Wolle Melkas Fernando

JF-Expert Member
May 4, 2016
218
297
Kushirikishana mitonyo siyo vibaya, kampuni ya simu ya Itel kwa kushirikiana na VodaCom, imeanzisha promosheni inayokwenda kwa jina la [HASHTAG]#SmartGulio[/HASHTAG] pale Mlimani City Dar es Salaam ambapo mtu anayenunua simu anapewa bando la intaneti GB10 kutumia mwezi wote na atapunguziwa bei ya simu kwa 30%. Hii inafanyika kila Wikendi yaani Jumamosi na Jumapili ndani ya mwezi mzima wa Oktoba 2016. Pia kuna zawadi ambazo ni maalum kwa mteja atakayenunua bidhaa za Itel.
Unaweza kuchukua link hii:
facebook.com/itelMobileTanzania
fetch

 
Back
Top Bottom