Punda afe Mzigo wa Bwana Ufike.

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
Tija gani inapatika kwa kwa wana siasa kuwatumia watoto wenye umri wa kwenda skuli na wasio kuwa na umri wa kwenda skuli katika mazingira kama hay ?
1.+Maelfu+ya+watu+wakiwa+wamefurika+kwenye+mkutano+wa+kampeni+za+CCM+eneo+la+Mwanzugi%252C+Kata+ya+Igunga+Vijijini%252C+jana..jpg
 
Hawa watoto waliambiwa nyosheni mikono juu ili wapigwe picha nini? Mbona hawana furaha na kitendo cha kunyosha mikono?
 
walipoenda kununua watu wakakuta wote wapo kwenye mkutano wa cdm so wakaanza kubeba watoto! ni kawaida ljkn, kwani kwa siku kama hizxo na masomo hustopishwa, (umesahau kipindi cha kupangwa barabarani?) ndo wanachofanya ccm
 
Walikwenda Kushangaa the Comedy na Muimba Kwaya Mkuu Ndugu John Komba Pamoja na aliyeshikwa Ugoni!! Hujui watoto wanapenda Viburudisho na Buudani?
 
Walikwenda Kushangaa the Comedy na Muimba Kwaya Mkuu Ndugu John Komba Pamoja na aliyeshikwa Ugoni!! Hujui watoto wanapenda Viburudisho na Buudani?

kumbe mkutanoni huwa wanaenda kuangalia show na sio sera..
 
kuna mmoja anajaribu kuonesha ishara ya cdm
Yap! huyo kijana mwenye black na skaf hapo mbele kabisa,nafsi inamsuta anataka kuonyesha hisia zake za kikweli kwa vidole viwili,ila anaogopa anageuka kuangalia huku na kule kama kuna anayemwona
 
Back
Top Bottom