Puncture

cc_africa

Senior Member
May 30, 2010
121
2
Mke kamkuta mume wake kaweka m*** yake kwenye beseni la maji; akashtuka na kwa taharuki kamuuliza,
"mbona umeweka m**** yako kwenye beseni?" mume akamjibu,
"Natafuta puncture maana leo siku ya pili haijasimama''
 
hii tabia ya watu kusema hii post imerudiwa inakera kweli kweli, hivi kuna member wangapi wanajiunga humu jf kila siku, kwa hiyo mnahisi mmeshawasomea kila kitu kilichomo humu, we kama unaona imerudiwa kaa pembeni wenzio ambao hawajaiona waisome kwa sababu kila siku watu wanajiunga na jf na kwao inaonekana ni post mpya, mimi binafsi nakutana mara nyingi na post zilizorudiwa lakini kwa faida ya wasiozisoma huwa si-comment kitu chochote na kufungua ambazo sijazisoma. KAMA WEWE UMESHAISOMA POST KAA PEMBENI WASIOISOMA WAISOME
 
Good, mana hata mm kule kwenye joke yangu nimembiwa nimecopy wkt hata kuiona hio post sijaiona otherwise I couldnt post it
 
Hii nayo Marudio.

Hata kama mkikasirika marudio ni marudio tu. mkitaka kuona post zilizowekwa hapa zote zipo, search page zilizopita sio ku-post posted post.
 
Inawezekana kweli kupitia post zote zilizopita? Kurudiwa siyo dhambi kama unaona kwako ni marudio kaa pembeni
 
hii tabia ya watu kusema hii post imerudiwa inakera kweli kweli, hivi kuna member wangapi wanajiunga humu jf kila siku, kwa hiyo mnahisi mmeshawasomea kila kitu kilichomo humu, we kama unaona imerudiwa kaa pembeni wenzio ambao hawajaiona waisome kwa sababu kila siku watu wanajiunga na jf na kwao inaonekana ni post mpya, mimi binafsi nakutana mara nyingi na post zilizorudiwa lakini kwa faida ya wasiozisoma huwa si-comment kitu chochote na kufungua ambazo sijazisoma. KAMA WEWE UMESHAISOMA POST KAA PEMBENI WASIOISOMA WAISOME

naunga mkono hoja
 
Hii nayo Marudio.

Hata kama mkikasirika marudio ni marudio tu. mkitaka kuona post zilizowekwa hapa zote zipo, search page zilizopita sio ku-post posted post.

Yap ! Hilo neno waache upuuzi wao wa kurudia ovyo wakati page za zaman zipo.
 
Sasa kwani ugovi? Na kuna sehemu yyte ilioandikwa HAIRUHUSIWI KURUDIA POST AMBAYO ILISHATOLEWA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom