Pumzika kwa amani mwanangu

pole sana nnkamu,...Kyala mpala gwamietu...................pole sana
 
Bwana alitoa na ametwaa jina lake lihimidiwe!

Mungu ampumzishe kwa amani mtoto wetu mpendwa!
 
‘Ni mwaka sasa umetimia tar kama ya leo 28/3/2011 nilipoondokewa na wewe mwanangu kipenzi IKUPA MWAKYUSA (14yrs) pale Lugalo hosp,najua ulilala tu na sasa umevikwa mwili mpya usiokufa ukipumzika mahali pema peponi‘.msg to jf bros.

Pole sana broda.
 
Pole sana

Mungu aliyekuwa na makasudi kwa haya kutokea Tunamuomba awashike na kuwaongoza ktk Yote yanayofuata

YOTE NI KWAAJILI YA UTUKUFU WAKE MUNGU

JINA LAKE LIHIMIDIWE
 
amen bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.pole sana.
 
Pole sana, ndugu yangu,bibilia ina sema kwamba na mavumbini mtarudi,kiumbe chochote chenye uhai lazima kionje kifo is a matter of time and days!sisi binadamu ni kama kuku ambaye anajiokotea chakula bila kujua kuwa kuna mgeni amekuja na anatakiwa kuchinjwa sisi binadamu ni sawa na kukinga maji kwa zamu kuwa mwenzangu amemaliza kukinga ndoo yake na wewe una sogeza ya kwako, unapo anza mwaka ni sawa na kupokea barua ambayo ndani yake hujui imeandikwa nini huzuni au furaha,sisi binadamu tunapita hapa duniani sio kwetu,we are like as a deep-sea divers submerged in element which is really foreign to us.we have meaningful work to do down here under the sun and as we faithfully go about our assigned task.pole sana na Mungu akutie nguvu.
 
Pole sana mkuu, bwana ameto na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
 
Bro Michael, Baba yetu wa Mbinguni awe Faraja na kimbilio kwako na Familia yako yote wakati Wote. R.I.P. IKUPA. Amen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom