Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Matokeo ya kidato cha nne yanaonyesha wazi kuwa kwa sasa wavulana (wanaume) sasa ni midebwedo kwa watoto wa kike. Katika shule 10 bora, za kike ni saba, kama sijakosea. Aidha katika wanafunzi 10 bora, saba ni wa kike.
Redio moja imefanya 'kautafiti' na kugundua kuwa suruali za milegezo ni dalili ya kuchoka kwa watoto wa kiume. Wakati mwalimu zamani aliwahimiza watoto waongeze jitihada kwa kusema " pull up your socks", sasa hivi walimu wanasema "pull up your trouser".
Tunakoelekea kina mama wataanza kulipa mahari ili watumiliki, kama sio kutuoa.
Nawasilisha.