Public lecture on corruption at s.u.a by a pccb official

tanga kwetu

JF-Expert Member
May 12, 2010
2,193
1,434
Kesho (3/6/2010) kuanzia saa 3 hadi 5 asubuhi (9:00-11:00 AM local time) kutakuwa na mhadhara wa wazi utakaotolewa na Director of Research, Control and Statistics wa PCCB huko S.U.A Main Campus. Mlio karibu na eneo hilo mpatapo wasaa msikose kwenda. Ni nzuri sana watu kama hawa wanapokuwa na Public Lecture kwenye hizi Higher Learning Institution ambapo kwa nchi za majuu zinakuwa very debatable na i hope hapo SUA itakuwa hivyo pia. Watakaohudhuria mtujulishe amesema nini na ishu gani zitakuwa raised.
 
Back
Top Bottom