Public enemy number one of Tanzania title goes to "Rostam Aziz"

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Taifa zima limefahamu mpaka leo nani hataki Taifa la Tanzania liende mbele. Kuna mtu mmoja jina lake ni Rostam Aziz. Kila kona ya Taifa la Tanzania tunaona mikono ya Rostam kutengeneza mikataba hewa na kuingiza biashara na makampuni toka nje huku yakijulikana kama ni "investors-wawekezaji" kumbe ni miradi ya Rostam na mafisadi wengine Tanzania. Leo hii tunampa na kumzawadia zawadi ya "Public Enemy Number One in Tanzania"
2891552.jpg

Miradi mingine ya Rostam ni kulobby na kuwakilisha makampuni ya nje Tanzania kuleta biashara wakati yeye ni mbunge na mfanyakazi wa CCM. Kitu gani au Mtanzania gani anaweza kuwa na kofia nyingi hivi kitaifa? Watanzania lini tutachunguza biashara zote za Rostam/documents zote serikalini/ndani ya CCM na tutamchukulia hatua lini? Kwanini Wanachama wa CCM hasa wa Igunda siku zote wako kimya? Siku zinakuja zake....ataripoti jela tu. Mungu Siku Zote Yupo Upande Wetu.
JM tupatieni list ya Public Enemy wa Tanzania tuwafahamu....
 
Rostam Aziz siyo mtanzania, yeye ni muajemi ndiyo maana hana mapenzi na nchi hii.Anastahili adhabu ya kunyongwa hadi afe au atumbukizwe kwenye pipa la sulphuric acid 98%.
 
Namchukia kupita maelezo Tabia yake mbovu ni jambazi wa uchumi wetu na mtu anae chochea umasikini wa watanzania, siku yake yaja tutamfunga na kumfilisi.
 
I was thinking, hivi hakuna mtu anayeweza kumuua huyu mtu iwe kwa ajali au hata kumloga/ wachawi kazi yenu nini kwani? kama kweli mnao uchawi/uganga,...anything hebu anzeni na huyu, kwa kweli nitafurahi sana siku Rostam akifa. Ee Mungu huoni kama huyo mtu anatuhanithi sana, uko wapi ee Mungu, muondoe huyu jamaa duniani, it seems hatumwezi kwa nguvu zetu. I am serious naomba Rostam afe.
Wale tumwaminio Mungu si tufunge na kuomba ili huyu afe kwa njia yoyote ile? wale wa novena na wasali novena kwa ajili tu ya huyu afe, wale waislamu na si wamsomee albadir. na wale wa kujilipua, inashindikanaje kumtafuta alipo mtu ajitoe mhanga kwa ajili ya taifa...maana imeandikwa, yampasa mmoja kufa kwa ajili ya wengi lol.....................kumbe i am dreaming, ...i hate you rostam, unaniletea mawenge hata usingizini.
 
Kila mwanaadam ataonja MAUTI, hakuna kisichoshindikana chini ya JUA (UNDER THE SUN).
 
Unajua watu kama hawa hawana machungu kabisa na nchi hii ndio maana hata mlie machozi ya damu yeye hata jali kilicho cha muhim ni kuchukua hatua tu madhubuti. Mtu huyu ni hatari kuliko hata ukimwi.
 
I was thinking, hivi hakuna mtu anayeweza kumuua huyu mtu iwe kwa ajali au hata kumloga/ wachawi kazi yenu nini kwani? kama kweli mnao uchawi/uganga,...anything hebu anzeni na huyu, kwa kweli nitafurahi sana siku Rostam akifa. Ee Mungu huoni kama huyo mtu anatuhanithi sana, uko wapi ee Mungu, muondoe huyu jamaa duniani, it seems hatumwezi kwa nguvu zetu. I am serious naomba Rostam afe.
Wale tumwaminio Mungu si tufunge na kuomba ili huyu afe kwa njia yoyote ile? wale wa novena na wasali novena kwa ajili tu ya huyu afe, wale waislamu na si wamsomee albadir. na wale wa kujilipua, inashindikanaje kumtafuta alipo mtu ajitoe mhanga kwa ajili ya taifa...maana imeandikwa, yampasa mmoja kufa kwa ajili ya wengi lol.....................kumbe i am dreaming, ...i hate you rostam, unaniletea mawenge hata usingizini.

Dah umesema yote.
 
Rostam Aziz siyo mtanzania, yeye ni muajemi ndiyo maana hana mapenzi na nchi hii.Anastahili adhabu ya kunyongwa hadi afe au atumbukizwe kwenye pipa la sulphuric acid 98%.
Siyo siri tunavyoumia nadhani Mungu anachelewa kuonesha nguvu zake hapa!
 
Hivi ikitokea RA akaamua kutubu madhambi yake kwa watanzania, CCM na viongozi wake watatumia nini kuficha aibu yao??

Kenya kuna yule gabachori anaitwa Kamlesh Pattni alihusika kwenye deal kibao na utawala wa Moi ikiwemo Goldenberg scandal.
Huyu bwana aliamua kumrejea Mungu wake akafichua siri za michongo yote mbele ya Goldenberg Commission of Inquiry, viongozi kibao nguo ziliwashuka.

Pattni now known as Paul Kamlesh Pattni is a pastor and runs a Humanitarian organization.

Rostam can choose kutubu mbele ya watanzania kwa madhira aliyotuletea ama tulipe kisasi kwake na uzao wake!
 
This guy is a notorious local and international criminal,he needs to face justice one day.Let him pretend that he is more intelligent than all Tanzanians, and of course he is even not more intelligent but simple a clever creature.But I know for sure siku zake zinahesabika na ipo siku Watanzania watamuonyesha cha cha mtemakuni.Na nyie watu wa igunga acheni kumchagua criminal kwenye uongozi wa ubunge.Kuna wanyamwezi kibao tu wanafaa kuiongoza Igunga, so kwa nini mnakubali kununuliwa na huyo foreigners?
 
Who is real Rostam and how did he get in Tanzania,,amewezaje kuiteka nchi?

Huyu ni Tanzania Economic Hit man

"Economic hit men (EHMs) are highly-paid professionals who cheat countries around the globe out of trillions of dollars. They funnel money from the World Bank, the U.S. Agency for International Development (USAID), and other foreign "aid" organizations into the coffers of huge corporations and the pockets of a few wealthy families who control the planet's natural resources. Their tools included fraudulent financial reports, rigged elections, payoffs, extortion, sex, and murder. They play a game as old as empire, but one that has taken on new and terrifying dimensions during this time of globalization."
 
Labda kama hampo kwenye AJIRA za SERIKALI na TAASISI zake. PENOT of Tanzania ni WATUMISHI wa UMMA tuliowakabidhi ofisi zetu. RA peke yake anawezaje kuiibia NCHI. Wahindi waliondoka siku nyingi kwenye ajira ya UMMA, Waarabu vivyohivyo, tumebaki wenyewe tunatafunana kisha tunawasingizia akina RA ambao ni wawezeshaji tu.
Rais na Cabinet yote na manaibu mawaziri hakuna mwenye asili ya ASIA wala ULAYA.
Makatibu Wakuu kuanzia Luhanjo, Wakurugenzi wa Wizara na Taasis za UMMA ni sisi wenyewe.
Asilimia 98.9 ya Wabunge ni sisi hawahawa.
Hakuna Jaji wala Hakimu Mhindi.
Vyama vyetu vya SIASA, vya HIARI, ASASI za kiraia, za KIDINI, tunaziongoza wenyewe.
CDF, IGP, Mkuu wa TISS, Kamishna wa Uhamiaji, Magereza wote ni sisi.
Tunamwonea RA. Tukae tujiangalie, tufikiri upya.
 
sioni kama yeye anakosa,tatizo lipo kwa viongozi wetu kumpa mwanya na kubariki upumbavu anaotufanyia...
 
CARMEL, dont wory, ulichoongea tayari kipo kwenye mchakato, tar 16 tunakutana nairobi wanamapinduzi kadhaa tuna mtandao wetu, tunaenda kujadili proposals tofauti tofauti zinazotoa mapendekezo ya jinsi ya kua assasnet rostam pamoja na list ya watu 10 wengine. Hatuwezi weka mambo hadharani hapa ila kwa kifupi kuna wanamapinduzi 2 frm cuba,1 frm urusi, 5 frm dsm. Na mimi mwenyewe nikiwemo. Haina haja ya kuendelea kuumia wakati maadui zetu tunawajua.
 
sioni kama yeye anakosa,tatizo lipo kwa viongozi wetu kumpa mwanya na kubariki upumbavu anaotufanyia...

Tunahamishia mashambulizi kwa Rostam ili watanzania wa kawaida wasione tunachokifanya sisi. Ni AIBU. Kama ni mjadala wa Kitaifa uanzie kwa WATUMISHI wa UMMA.
 
Back
Top Bottom