Kwa mtiririko huu, nahisi ahadi inayofatia itakuwa nyumba za serikali kwa pale Dar...!!
Aliahidi mwaka 2006 wakati anazindua Bunge, mpaka leo sijaona chochote kilichofanyika. Pamoja na hayo, swala la nyumba za serikali haliwagusi walalahoi wa vijijini na wengine hata hawaelewi zinafananaje maana hawajawahi kuziona. Ngoja tuendelee kufuatilia ahadi za JK ambazo hazitekelezeki.