psychometric test,(interview)

manushiboy

Member
Aug 3, 2011
34
9
jamani saidieni katika hili hivi ni nini hasa kinafanyika katika psychometric test, wana jamii embu tujuzane katika nyanja hii.
 
Psychometric tests ni jina linalojumlisha psychological tests ambazo ziko nyingi, mfano: intelligence test, attitude test, personality na kadhalika.
 
Dah tanzania hatuwezi kuendelea kwa staili hii. Weka kwenye google kijana majibu utapata. Acha kutangatanga huku kuuliza maswali bayo majibu yake yako wazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom