Psychometric Aptitude Ability Test (PAAT)

MAUBIG

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,038
854
wanajamii wezangu nifahamisheni kama mnafahamu kampuni au sehemu ambayo wanayotoa Hizi test, mana waajiri wa nje ya nchi wanazihitaji. Nilikosa ulaji Sudani Kusini but this time I don't want to miss in Congo.
 
Mkuu jaribu kwsa hawa wakenya they are well known na wanatoa at an affordable price na its online you can call them via +254 208073434. they are called TUMDA COMMUNICATIONS.
 
wanajamii wezangu nifahamisheni kama mnafahamu kampuni au sehemu ambayo wanayotoa Hizi test, mana waajiri wa nje ya nchi wanazihitaji. Nilikosa ulaji Sudani Kusini but this time I don't want to miss in Congo.

Mimi nilishafanyaga hii test na hawa waKenya last year. Ukiwaandikia email watakutumia test ambayo utaifanya kwa muda fulani then wanakupa majibundani ya 2 days the maximum. E.S Africa www.eserveafrica.com . Goodluck!!
 
Nakushauri hata usifanye hiyo Test, hao jamaa wanao jiita Planet Action Fund, wanao tangaza ajira huko Sudani, Uganda na Congo ni matapeli, kwani hakuna NGO kama hiyo huko blackburn wala Preston wanakosema kuna ofisi zao.

Nina shawishika kuamini kuwa wana uhusiano wa moja kwa moja na hao wakenya wanao hiita TUMDA COMMUNICATION. Ili wapate dili ya hiyo PAAT.

Mini nilishatapeliwa 132,000 TSH. na hiyo PAAT test nilifanya lakini hamna kitu.

Kwa uhakika zaidi, hao Planet ACTION FUND. kwenye website hakuna maelezo ya kujitosheleza, lakini pia lugha yao imekosewa kosewa, lakini pia hawajatoa simu ya landline ya ofisi yao bali wametoa mobile number (tena lyca mobile)

kuweni makini na hawa jamaa, huu ni utapeli wa aina nyingine tena.
 
nashukuru ndugu zangu kwa ushauri wenu, mwenyezi mungu awafanyie wepesi. AMEEN
 
wanajamii wezangu nifahamisheni kama mnafahamu kampuni au sehemu ambayo wanayotoa Hizi test, mana waajiri wa nje ya nchi wanazihitaji. Nilikosa ulaji Sudani Kusini but this time I don't want to miss in Congo.

mm nilifanya mwaka jana, na wanakupa test online yenye maswali mengi unafanya kwa masaa mawili, nilitumia centre ya E.S. Africa ya kenya ambayo si wababaishaji. Ukilipa tu pesa, wanakutumia test online
 
Kaka be carefull hiyo vacance ya Congo me niliapply ila the way it is sio ya kweli inaonekana ni hao wakenya wamecrete hiyo vacance ili ulipie huo mtihani n thts all,mimi nilibahatika ckulipia huo mtihani aka test...wat i beleave ni kwamba an "instituton should carry all the costs associate with recruitment of its staff n not otherwise"

Back
Top Bottom