Pspf na udom majibu vp?

cielo

Senior Member
Nov 2, 2011
130
13
Wapendwa yeyote aliye na news kuhusu interview tuliyofanya ya udom' asistant accountants' na pspf 'operation oficerz', kama walishaita tena au vp? Maana tunasubirii had bac jaman
 
Nafikiri watakuwa wameshaajiri pspf kwani nakumbuka tulipokuwa kwenye interview walisema majibu yangetoka kabla ya mwezi wa kumi kuisha sasa leo ni november best !.tujaribu kuomba kwingine Mungu atatusaidia
 
ndugu yangu ulitumia kimemo au unategeme nguvu za bwana???? manake zile nafasi kama huna kimemo tena kizito usijidanganye never nchi imeuzwa hiii unafiki na uzandiki mtupu hamna maana hapa tusome tufute ujinga tuu tunakoelekea sasa ni kama nigeria tuu
 
jaman kwa hyo pspf .. Asa mbona hawatangaz.. Ipo cku ntapata tu tena kaz nzur
 
Mh Mungu wangu ndo atanitetea tu

mwenyewe nilifanya apptitude ya Pspf lakini mtihani ulivyokuwa mwepesi watu kama 500 lazima wafaulu na eti mtu 8 tu ndo needed na kuna mtu serikalini alinambia washaajiri hata kabla hatujafanya interview
 
Kwa taarifa za uhakika, PSPF bado hawajaajiri, ndio kwanza wamemaliza kusahisha aptitude test. Matokeo ni mabovu u can't imagine. Wanashangaa inakuwaje graduate wanafeli mtihani kama ule. Waliofaulu wataitwa kwenye oral.
 
Back
Top Bottom