Tongue blister
JF-Expert Member
- Jun 19, 2009
- 362
- 11
mtu kama wewe hata upewe source bado utaitaka hiyo source ikupe source.
Kweli jambo kama hili hujalisikia. Hakuna kwingine unakosoma habari zaidi ya jf?
achana nae huyo..watu wa jinsi hiyo huwa hawana chakuandika wala kuchangia.. Source ni wale waliofuatilia na kupambana na hiyo hali kwamba haya mashirika hayana fedha ...na source si lazima iwe media .