proxy with mobile phone

jumaa24

Member
Oct 11, 2011
97
13
Guys, some one kesha experience kwa nini download kwa proxy kupitia mobile phone inakata after some minutes then inakua connection time out after some time??
 
unatumia simu gani? Kama ni nokia symbian ni vizuri kutumia opera 12 ya symbian kama proxy inakubali resume hutapata shida.

Kama ni s40 za kawaida tumia ucweb real host (kwa mafile madogo)

Sometime kuna website zinakua busy sana (hasa za video, movies, series) so inabidi urudie mara nyingi ili kupata hio link na connection time out itatokea mara kwa mara kila website inapokua busy
 
mkuu.. naomba link ya opera 12. nimezoea hzi za 4.4 5.4 beta. 6.5 Na 11
 
unatumia simu gani? Kama ni nokia symbian ni vizuri kutumia opera 12 ya symbian kama proxy inakubali resume hutapata shida.

Kama ni s40 za kawaida tumia ucweb real host (kwa mafile madogo)

Sometime kuna website zinakua busy sana (hasa za video, movies, series) so inabidi urudie mara nyingi ili kupata hio link na connection time out itatokea mara kwa mara kila website inapokua busy

Natumia nokia s60v3, na pia natumia hiyo opera mobile 12 pamoja na ucmobile, internet browsing haina shida ila inapofikia suala la download, nikijaribu kwa browser zote hizo zinafanya same thing at the same point!! Ina download poa with great speed but ikishagonga MB kadhaa, maybe MB 5, connection inakata!! Na huwa sipati tena connectioN mpaka kesho yake kila napojaribu!! Hii ni kwa aina yoyote ya file nalo download huenda mchezo huo unafanywa na proxy server au ISP???
 
Je mm ntajuaje kama yangu ni symbian ya ngapi?
Natumia Nokia 3120classic
ya mwaka 2009
 
Natumia nokia s60v3, na pia natumia hiyo opera mobile 12 pamoja na ucmobile, internet browsing haina shida ila inapofikia suala la download, nikijaribu kwa browser zote hizo zinafanya same thing at the same point!! Ina download poa with great speed but ikishagonga MB kadhaa, maybe MB 5, connection inakata!! Na huwa sipati tena connectioN mpaka kesho yake kila napojaribu!! Hii ni kwa aina yoyote ya file nalo download huenda mchezo huo unafanywa na proxy server au ISP???

Maybe ni proxy jaribu tumia hii.

216.155.153.105
 
vipi kaka yangu n nokia 5700 si ya kichna itakubal then steps zake n zip but xory coz nshazoea za pc
 
hiyo inakubali fata step hizi

Nenda
Menu
Tools
Setting
Connection/destination
Accesspoint

Hapa unaweza tengeneza mpya au uka edit iliyokuepo

Ukiopen access point bonyeza option then advance seting utaona sehemu ya proxy eka hio apo juu na port eka 80.

Hope umenipata
 
vipi kaka yangu n nokia 5700 si ya kichna itakubal then steps zake n zip but xory coz nshazoea za pc

kwanza unahitaji upate opera mobile 12 au version yoyote ya nyuma, sio opera mini.
Then nenda setting-connection-acces pint,(hata tengeneza apn yoyote ile) kisha nenda advanced setting, hapa utaona sehemu ya proxy server na pa kujaza port
Now back to opera mobile, tumia ile apn ulo create, den kwenye adress bar utafanya kama vile unavyofanya kwenye pc!!
Hii mtiririko ni according to my phone format so sijui kwako itakua vp
 
unatumia simu gani? Kama ni nokia symbian ni vizuri kutumia opera 12 ya symbian kama proxy inakubali resume hutapata shida.

Kama ni s40 za kawaida tumia ucweb real host (kwa mafile madogo)

Sometime kuna website zinakua busy sana (hasa za video, movies, series) so inabidi urudie mara nyingi ili kupata hio link na connection time out itatokea mara kwa mara kila website inapokua busy

Mkuu mm mwenyewe ishu hii inanzingua... Af proxy za hide my ass now znanambia niweke password.. Hii imekaa vp?
Na kuhusu home page je?.. Pm me plz
 
Back
Top Bottom