Proxy ni nini na unaitumiaje?

Kwa ujumla, neno proxy linamaanisha kitu kinachosimama katikati ya vitu 2 au pande 2 kwa lengo la kuviunganisha kwa lengo fulani.
Katika mawasiliano ya internet kuna kitu kiitwa "proxy server". Hii ni aina ya komputa ambayo iko kati ya web server(inayokuletea mafaili ya internet) na client (yaani komputa yako). Yaani proxy server inakuunganisha wewe na web server. Lakini katika mawasiliano ya intaneti proxy sio muhimu. Inawekwa kwa kusudi maalum. Kwa mfano, proxy ya opera mini inatumiwa na opera kucompess mafaili ya intaneti yaweze kutosha kwenye simu yako kama unatumia opera mini. Pia proxy servers ndizo zinazotumiwa na serikali fulani kudhibiti mawasiliano ya intanet, mfano kuchuja meseji na picha zinazoikosoa serikali, nk. Kwa hiyo proxy inaweza kutumiwa kwa nia nzuri au mbaya Nadhani sasa umeelewa.
 
Nimekupata kaka...ila hilo swali nimeuliza baada ya kuona watu wanaombana proxy hapa jukwaani, then wanapeana IP adress, ndo bado sijaelewa hizo proxy zinazoombwa hapa ni kwa ajili ya matumizi gani?
 
safi kabisa mdogo wangu nami pia umenisaidia kunitoa ushamba kwani hata kuuliza nilikua nimeshindwa
 
Nimekupata kaka...ila hilo swali nimeuliza baada ya kuona watu wanaombana proxy hapa jukwaani, then wanapeana IP adress, ndo bado sijaelewa hizo proxy zinazoombwa hapa ni kwa ajili ya matumizi gani?

Ok, proxy zina kazi nyingi. Zinaweza kutumika kutoa huduma ya bure ya internet au gharama nafuu za internet. Ndizo hata makampuni ya simu yanatumia. Wakati mwingine tapohitaji huduma fulani unazi access kupitia configuration maalum . Hapo ndipo unapohitaj kuingiza hizo configuration manually. Ndipo unaona mtu anaomba IP address(yaani proxy address), access point, port, nk mkuu!
 
Kwa ujumla, neno proxy linamaanisha kitu kinachosimama katikati ya vitu 2 au pande 2 kwa lengo la kuviunganisha kwa lengo fulani.
Katika mawasiliano ya internet kuna kitu kiitwa "proxy server". Hii ni aina ya komputa ambayo iko kati ya web server(inayokuletea mafaili ya internet) na client (yaani komputa yako). Yaani proxy server inakuunganisha wewe na web server. Lakini katika mawasiliano ya intaneti proxy sio muhimu. Inawekwa kwa kusudi maalum. Kwa mfano, proxy ya opera mini inatumiwa na opera kucompess mafaili ya intaneti yaweze kutosha kwenye simu yako kama unatumia opera mini. Pia proxy servers ndizo zinazotumiwa na serikali fulani kudhibiti mawasiliano ya intanet, mfano kuchuja meseji na picha zinazoikosoa serikali, nk. Kwa hiyo proxy inaweza kutumiwa kwa nia nzuri au mbaya Nadhani sasa umeelewa.

Asante sana.. Ila inatumikaje..!?
 
Tuendelee na shule Coral....sasa kama nataka ku-surf free kwa kutumia proxy, nahitaji kuwa na requirements gani??
 
Back
Top Bottom