Prove me RIGHT or WRONG....

Magwero

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
243
75
Kuna mambo mengi ambayo ni kweli na hakika lakini ni vigumu sana kuthibitisha....!!
Mimi nasema "hakuna msichana ambaye anakunywa POMBE na kwenda CLUB katika umri wowote ule,,then akawa BIKIRA.....

Ur welcm..
 
Naunga mkono hoja,I have proved you right genleman!
 
Labda kwa kuwa umesema kunywa pombe NA kwenda club, ingekuwa au ningesema baadhi ya catholic nuns wanakunywa pombe and baadhi yao ni virgins.

Lakini pamoja nao, nafikiri kuna frigid girls ambao wanaparty na kuchill lakini they are virgins, au hata lesbians ambao hawatumii dildos
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Sio kweli! Wapo wnaaokunywa pombe na wanaenda club. Lakini wakiwa na the right company na wanajijua kipimo chao cha kunywa pombe. Kunywa pombe hadi ukate network ni upoyoyo, na kuhang na company usiyoiamini ama inayoweza kutake advantage ni upoyoyo squared!

Hiyo analisis ya company unaifanya saa ngapi..?baada ya kunywa au kabla...
Na wao wakinywa pombe nani amakuwa salama juu ya mwengine..!!
Nishawishi tena ndugu
Ut
 
Hoja imeungwa mkono na mimi babu mwenye kura ya Veto.

Hii inamaanisha kuwa sasa hii sredi na huu mjadala ako klozd!
 
Sio kweli! Wapo wnaaokunywa pombe na wanaenda club. Lakini wakiwa na the right company na wanajijua kipimo chao cha kunywa pombe. Kunywa pombe hadi ukate network ni upoyoyo, na kuhang na company usiyoiamini ama inayoweza kutake advantage ni upoyoyo squared!
very wise answer mama. personally I have more fingers on one hand than the number of good company ya kwenda nao drinking. vinginevyo naweza kujiabisha lol
 
Kuna mambo mengi ambayo ni kweli na hakika lakini ni vigumu sana kuthibitisha....!!
Mimi nasema "hakuna msichana ambaye anakunywa POMBE na kwenda CLUB katika umri wowote ule,,then akawa BIKIRA.....Ur welcm..

Scientifically...hakuna association yeyote kati ya 'kwenda club' na 'kuwa/kutokuwa na bikra'!
 
Scientifically...hakuna association yeyote kati ya 'kwenda club' na 'kuwa/kutokuwa na bikra'!

lakini kwenye utangulizi nilisema kuwa ni kweli na hakika ila kuthibitisha yaweza kuwa ngumu...!!
Ngoja nikwambie...
Kuna mazingira na matendo thy r likely kuchochea sana matendo ya kingono...
Pombe na club ndo noma..
Yupo unaemjua..? hata wa miaka 18 tu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom