Protests from PAMPULA and SOKOMOKO.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,025
Haya maonezi bana,kama sigara zinauzwa halafu zimeandikwa kwenye paketi;ONYO,NI HATARI KWA AFYA YAKO,basi na GONGO nayo iuzwe kihalali na chupa zake ziandikwe;ONYO,NI HATARI KWA AFYA YAKO!
 
Wanaziponda halafu wanazitegemea kwa pato la taifa kupitia kodi
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom