Propagandi hii siipendi

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Wana jamvi,tumsifu Yesu Kristo..Yangu mafupi.Nasema sasa hivi sitaki na nawashangaa wenye tabia ya kusema ''Cdm itakufanyia nini''? mnishauri wakitwambia hivyo tuwajibuje!
 
Kama anaweza kuwaelezea baadhi ya mambo kwenye ilani ya 2010 waelezee km hauwezi wape machache km haitawaingiza kwenye mikataba mibovu km DOWANS Na migodini
 
Back
Top Bottom