Propaganda za CCM Arusha: Lema haeleweki mwaka 2005 tulimhonga hakwenda mahakamani

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
CCM sasa wamebuni mbinu mpya ya kudai kuwa mwaka 2005 kweli Lema alishinda lakini wao walipoona atawabwaga mahakamani walimkatia ganja na akapokea na hivyo kutokwenda mahakamani na hivyo wadai haeleweki kwani akipewa ugali atawasaliti wana-Arusha.

Huko nyuma Lema alidai hakuwa na fedha za kumlipa mwanasheria aliyedai alipwe shilingi milioni kumi na saba kabla ya kuchukua kesi.

Sijui yupi anasema ukweli lakini nijuacho CCM hapa Arusha wamechokwa ile mbaya na hata hizi jitihada ni za mfa maji ambaye hata akishika jani anaona ni nafuu kwake.

Kukiri kwa CCM kwamba wao huwa wanatoa rushwa hilo linatosha kuwaweka kando maana wapigakura safari hii hawataki kuhongwa au anayehonga............................
 
Heshima kwako Rutashubanyuma.

Mkuu Ruta huitaji kuambiwa na CCM kwamba walimuhonga Lema hii maneno inajulika siku nyingi labda kama wewe nimgeni Arushas tafuta kuna threat nilishazungumzia kwa mapana na marefu ndiyo maana mimi simkubali Lema hata jua likisimama kwa dakika kadhaa najua yuko kibiashara zaidi.

Mkuu hakuishia kuongwa tu bali alishiriki kudalalia udiwani wa Mawazo diwani wa Sombetini ambaye siku za karibuni wamekuwa wakirushiana maneno ya kashfa.Dhambi za Lema zinawafanya wapinzani waonekane wasanii,bado watu wanawasiwasi na dhamira ya upinzani.

Mkuu kampeni zilipozinduliwa Mama Batilda alikuwa juu sana laiti uchaguzi ungefanyika kati ya siku tatu mpaka saba Batilda angeshinda ubunge siri zake zilipotinga kwa wapiga kura akafifia kwa kiwango cha kutisha.Lema akaanza kupanda cha kwa kasi ya kutisha lakini naye ameshaanza kuchoka kila kukicha kashfa zake zina ibuka kama uyoga.Tayari nusu ya wapiga kura wameshajua Lema ni kilaza wa kutupwa.Napenda kukuhakikishia hizi si propaganda za CCM bali ni makosa aliyofanya Lema kwa kufikiri watu wanakumbukumbu ndogo.Mtu anayemmaliza ni rafiki yake wa siku nyingi Mawazo Alphonce.
 
Haya maneno yametamkwa kwenye rally? Kama ndivyo hawa hawawezi kushitakiwa kwa kutoa rushwa???
 
Heshima kwako Ntemi Kazwile,

Mkuu unapaswa kujua kitu kimoja muhimu sana.CCM wilaya ya Arusha imegawanyika mara mbili,kuna kundi la mwenyekiti wa CCM wilaya Mzee Jubilate kileo mpiga debe wa Felex Mrema na kundi lake kubwa halafu ipo CCM Lowasa iliyomwingiza Batilda kwa nguvu za ajabu.

CCM Lowasa wajua F Mrema alimnunua Lema athari zozote zitakazojitokeza hazitamuathiri Batilda bali Mzee kileo ambaye pia ni mjomba wake Lema.
 
ccm sasa wamebuni mbinu mpya ya kudai kuwa mwaka 2005 kweli lema alishinda lakini wao walipoona atawabwaga mahakamani walimkatia ganja na akapokea na hivyo kutokwenda mahakamani na hivyo wadai haeleweki kwani akipewa ugali atawasaliti wana-arusha.

Huko nyuma lema alidai hakuwa na fedha za kumlipa mwanasheria aliyedai alipwe shilingi milioni kumi na saba kabla ya kuchukua kesi.

Sijui yupi anasema ukweli lakini nijuacho ccm hapa arusha wamechokwa ile mbaya na hata hizi jitihada ni za mfa maji ambaye hata akishika jani anaona ni nafuu kwake.

Kukiri kwa ccm kwamba wao huwa wanatoa rushwa hilo linatosha kuwaweka kando maana wapigakura safari hii hawataki kuhongwa au anayehonga............................

angalia upande wa pili mtu huyu alihongwa akakubali akifika bungen atasaidiaje wananchi pasipokuhongwa..tuangalie pande zote mbili ...tuwe makini siku ya tar 31 oct 2010 kamma mwananchi na si wazo la jeshi la tanzania
 
Kukiri kwa CCM kwamba wao huwa wanatoa rushwa hilo linatosha kuwaweka kando maana wapigakura safari hii hawataki kuhongwa au anayehonga

BALI MUHONGWAJI!!!I LIKE SIASA UNAJUA TATIZO MOJA LA UPINZANI NI WACHACHE NDIO WANAOKULA NA KUTAKA KUSHAWISHI WENGI WAWAFWATE WAKATI WANAPULIZIWA KIYOYOZI ..MI NASEMA HIVI SI MWANA CCM NASEMA BORA CCM INAYOKULA NA WENGI ..AKIKA KWA STYLE HII SIJUI KAMA WAATARUDI TENA HUKU MJENHONI(JF)KUONGELEA UPINZANI..WAKIMALIZA MLO WAO BASIIIIIIIII
 
Kumbe kweli CCM ni wazee wa Ruswa, mpaka wanasema hadharani, TAKUKURU MPO WAPI?
 
Heshima kwako Rutashubanyuma.

Mkuu Ruta huitaji kuambiwa na CCM kwamba walimuhonga Lema hii maneno inajulika siku nyingi labda kama wewe nimgeni Arushas tafuta kuna threat nilishazungumzia kwa mapana na marefu ndiyo maana mimi simkubali Lema hata jua likisimama kwa dakika kadhaa najua yuko kibiashara zaidi.

Mkuu hakuishia kuongwa tu bali alishiriki kudalalia udiwani wa Mawazo diwani wa Sombetini ambaye siku za karibuni wamekuwa wakirushiana maneno ya kashfa.Dhambi za Lema zinawafanya wapinzani waonekane wasanii,bado watu wanawasiwasi na dhamira ya upinzani.

Mkuu kampeni zilipozinduliwa Mama Batilda alikuwa juu sana laiti uchaguzi ungefanyika kati ya siku tatu mpaka saba Batilda angeshinda ubunge siri zake zilipotinga kwa wapiga kura akafifia kwa kiwango cha kutisha.Lema akaanza kupanda cha kwa kasi ya kutisha lakini naye ameshaanza kuchoka kila kukicha kashfa zake zina ibuka kama uyoga.Tayari nusu ya wapiga kura wameshajua Lema ni kilaza wa kutupwa.Napenda kukuhakikishia hizi si propaganda za CCM bali ni makosa aliyofanya Lema kwa kufikiri watu wanakumbukumbu ndogo.Mtu anayemmaliza ni rafiki yake wa siku nyingi Mawazo Alphonce.

Heshima kwako Ntemi Kazwile,

Mkuu unapaswa kujua kitu kimoja muhimu sana.CCM wilaya ya Arusha imegawanyika mara mbili,kuna kundi la mwenyekiti wa CCM wilaya Mzee Jubilate kileo mpiga debe wa Felex Mrema na kundi lake kubwa halafu ipo CCM Lowasa iliyomwingiza Batilda kwa nguvu za ajabu.

CCM Lowasa wajua F Mrema alimnunua Lema athari zozote zitakazojitokeza hazitamuathiri Batilda bali Mzee kileo ambaye pia ni mjomba wake Lema.

BiG G

Vipi una scandal nyingine??
 
Nashukuru sana Mkuu kwa taarifa.

Vita ya panzi, nafuu ya kunguru. Najua wanazidi kumpandisha chati Lema bila wao kujua. Lowasa, Rostam, Makamba, Kinana, Kikwete, na wengine wengi watajificha siku ile ambapo Tanzania itakombolewa tena!
 
Kumbe kweli CCM ni wazee wa Ruswa, mpaka wanasema hadharani, TAKUKURU MPO WAPI?

Heshima Kapotolo.

Mkuu wangu marehemu Bibi yangu aliwahi kunihadithia wakati wa uhai wake kwamba mchawi aliyeshiriki kuuwa watu wengi siku ya kufa kwake moto unamwakia mwili mzima atalazimika kutaja watu wote alioshiriki kuwauwa kabla ya kukata roho.CCM ni kama mchawi nakwambia kabla hakijaenda kuzima kitasema mambo yote mabaya waliwahi kufanya siku za nyuma watanzania tutabaki midomo wazi.
 
Wewe darasa la ngapi?
 
Mkuu kampeni zilipozinduliwa Mama Batilda alikuwa juu sana laiti uchaguzi ungefanyika kati ya siku tatu mpaka saba Batilda angeshinda ubunge siri zake zilipotinga kwa wapiga kura akafifia kwa kiwango cha kutisha.Lema akaanza kupanda cha kwa kasi ya kutisha lakini naye ameshaanza kuchoka kila kukicha kashfa zake zina ibuka kama uyoga.Tayari nusu ya wapiga kura wameshajua Lema ni kilaza wa kutupwa.Napenda kukuhakikishia hizi si propaganda za CCM bali ni makosa aliyofanya Lema kwa kufikiri watu wanakumbukumbu ndogo.
wewe ni sawa na REDET umewapata je nusu ya wapinga kura na kama ni hivyo unaimanisha Lema 50%, Batilda 30%, Lyimo 15%
 
Kama Lema hafai nani anafaa kwa Arusha? Ninavyoona Baltilda hafai zaidi kwani ni mnafiki sana , mwenye jazba. Hii kuwa tu CCM ni ishara kuwa hafai. Kwanini atetewe na Lowasa?
 
naomba wakuu hiyo thread iliyotolewa na mh.ruta kuhusu hizo kashfa za mbunge wetu makini lema
 
Ninavyofahamu karibu kila Mbunge wa chadema ni brand, vyovyote umuanavyo Lema na ufikrivyo kuhusu yeye.Naomba upate bahati ya kumwona jukwaani ktk majimbo Mengi Tanzania na huu ndio ukweli unaowapa taabu wasio chadema.Hawa jamaa wana sijui kitu gani.Im sure msiba wa Sumari, Lema angeamua kuwafunika viongozi wote pale angefanya.Na ndio maana hata wapinzani wao CCM wameanza propaganda kuwa Lema hatakiwi Meru.

Kwa jinsi chadema wapo flexible ktk kuongea na kujenga hoja bila hofu ya kumuudhi sijui kada CCM wanaingia ktk kila kitu wakiwa underdogs mbele ya CDM. Kauli km Mbunge mmoja 1 wa CDM ni km Magamba 30, wana meru wakiingiza Mbunge 1 wanatoa magamba 30. Gharama za uchaguzi na mahala CDM walipomchagulia Mwakilishi wao ni Tofauti na Mamillion mamia ya CCM kumpata Kijana wao, yanafanya CCM ionekane kituko mbele ya Chadema.Mwandishi wa hoja hii hajui asemalo.jaribu hudhuria mikutano hata km si mwanachama upate facts.
Mikutano ya CDM watu wapo at easy sana.Wanachat, wanacheka, wanashangilia, wanapata ile ATHEM ya kupandisha stim ya PEOPLES POWER....X,wanacheza na pikipiki, kitu ambacho sikioni CCM kwa kiwango cha kufurahisha.Km kuna watu wa wanakwazika ni wazee wanaopewa hofu wenda ktk mikutano ya CDM ila wanaangalia TV halafu wanaona shamrashamra zinazokuwepo.
Jaribu kwenda km mikutano ya kisiasa ukaone mwenyewe,km unaona taabu jaribu kaa hata ktk baa ,duka la karibu ukipata moja ,mbili angalau usipate vikwazo kama iliyowakuta mafarisayo kipindi cha mikutano ya Yesu.walifurahia mafundisho ila wakahofu kuitwa wanafunzi wake kwa kuwa karibu yake.
 
Siyo kweli kuwa Lema alihongwa bali alishindwa kihalali na ndiyo maana hata kampeni zake zilikuwa za kusuasua maana hakuwa na chochote.
 
Back
Top Bottom